Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
Ushikwapo shikamana
Mpe mtoto atatulia
1-Mpeleke akaombewe itakua ni mapepo. 2-akapimwe akili
kwa hiyo muda wote anataka uongee na yeye tu du!Habari za huku.
Hongereni kwa uchaguzi ulioisha hivi karibuni.
Ndugu wanajamii nina mke ambae ana wivu na mimi mpaka nafikiri kumuacha maana hataki hata niongee na watu wa jinsia yangu.
Yeye kila siku analalamika kuwa nawapenda wazazi na marafiki kuliko yeye.
Muda wote anataka tukae wote tu hata kazi hakuna kufanya hivi ndio inakuwaga hivi au anataka kunianzishia isidingo?
Karibu.
kwa hiyo muda wote anataka uongee na yeye tu du!
Mpe mtoto atatulia
Mtafutie cha kufanya awe bize. Huo ni ubinafsi uliokithiri (egoism) ukiendekeza itakula kwako.
Siamini hayo mavitu na mtu kujiendekeza
hebu jaribu kumwambia kuna rafiki zako unataka uonane nao .so muende wote (akikataa atakwambia nenda mwenyewe:redface🙂Ndio muda wote anataka ukiamka ukae nae tu hata usitoke nje.
Na mimi sio mtu wa hivo sasa ninakua ktk hali ngumu
We evaly ni muda sana umepitaApolinary kumbe ulishaoa, mbona kimya kimya ulivokua mpweke ulitushirikisha ulivovuta jiko kimya duh
umempa jibu zuri. Ukaribu wa mke na mume.unapungua mara mtoto anapopatikana. Attention ya mama kwa kiasi kikubwa inakuwa kwa mtoto. Hii sijui.inakuwaje maana hata kwa wanyama iko hivo. Hawana muda wa mapenzi kama mama ananyonyesha.Mpe mtoto atatulia