kyannala nabiso
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 645
- 143
ningekushauri usome kwanza... Ila kwa umri hakuna shida ilimradi mmependana. Kuna watu ninao wafaham wameoana mwanamke nimkubwa lakini ukiwataza uhuwezi jua, na wanapendana kupita maelezo......
.. Mwanangu, hebu nieleweshe mama yako, ni "girlfriend" au ni "mchumba"? maana umetumia yote haya mawili kumuelezea huyu mkwe wangu. Si unaelewa kuwa hivi ni vitu viwili tofauti? Are you just dating or do you plan to marry her? All I can say is - "LOVE surpasses all" and at the end of the day, the rules of the games are the same kwa waliopishana miaka and vice versa. Mungu akujalie uweze tambua yule aliekuandalia wewe
Duuh huyo lazima awe 5 bora maana ana akili za kiutu uzima ila daaahhh....siwezi jua mbeleni huko mkulu..!!Jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.
]
nafurah kwa michango yenu ya mawazo mazuri. NAPENDA KUONGEZA TENA MAADA. Kielimu yeye yupo 4m 2 ( ni kutokana na mambo kadahaa yalimpata huko nyuma akasimama shule kwa muda ) na anajitahd sana shulen maranying yupo kwenye tano bora, na mimi nimehitimu kidato cha 6. Mwaka 2012 nkashndwa kutuma maombi ya chuo (nilikuwa na den shulen vyeti vilizuiliwa) mwaka huu nimechaguliwa kujiunga na chuo kimoja wapo hapa Tz (MWUCE) sikujiingiza ktk mapenz hapo kabla na nimejikuta nipo ktk penzi lake zito, kiukwel ana umbo dogo kimwil unaweza kusema ana miaka 20 ukimuangalia ghafla! Kiukwel nafarijika kuwa nae na ananipenda hivo tunatarajia kuwa mke & mume hapo baadae. ILA NAPENDA KUSIKIA MENG KWENU KUHUSU UTOFAUTI WA MIAKA ila jaman SI KUMUACHA! Teh teh teh Ahsanteni
heeeeee huu nao ni ushauri?
Mwanamke akikuzidi umri atakuzidi na akili pia utamshauri nn mara nyingi ukitoa ushauri ataupinga au atakuwa na ushawishi mkubwa kwako na pengine uönekane ----- make utakuwa umasubiri yy aseme au aamue! Itakubidi uwe na busara na upeo wa juu kuishi na mke anaekuzidi umri! Itafikia hatua ujana wako haujaisha yy keshamaliza ww unataka disco yy anataka mwende kanisan miaka 24 kwa binti amepevuka sana ila kwa mwanaume bado sana ndo unaanza kumature
Hicho ndio chanzo cha hizo ndoa zenu za now days kuvunjika yani umeoa na bado unataka kwenda disco? mtalalamika kila kujicha juu ya hizo ndoa zetu...... na kwanini usiende kwanza disco ukisha maliza kwenda disco ndio uoe? ulikuja lalamika hapa kuhusu mkeo je nae kakuzidi umri? Nina watu kibao ninaowafaham wengine ni majirani na wamefunga ndo na mwanamke ni mkubwa lakini maisha wanayoishi hadi unatamani, wanapendana wanafurahia mapenzi yao wanasikilizana. ila hao unaowaongelea kua mwanaume mkubwa mwanamke mdogo kila kukicha kelele mara karudi kwao nara matusi.......... msimkatishe tamaa kijana wawatu, Mungu kwanza mengine yanafuata.