MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Masumuni, wilayani Mbinga Songea, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuua mumewe, John Bosco Haule, kwa kumchoma na kipande cha chupa ya bia shingoni, wakati wakigombana.
Kamanda wa Polisi mkoa huo, Akili Mpwapwa,amesema chanzo cha mauaji hayo hakijajulikana licha ya kuwa, inadaiwa mwanaume huyo amekuwa na tabia ya kumpiga mkewe mara kwa mara hasa wakati akitoka klabuni kunywa pombe.
Source: EATV