Halafu na kodi ya nyumba, kununua magari na kujenga nyumba bado mwanamke achangie! Wanaume wa siku hizi wanaohopa majukumu yao kuliko kuukosa uanaume wao!
Utakuta Mwanaume akioa mke basi kila kitu anataka afanyiwe: apikiwe, anyoshewe, achaguliwe nguo ya kuvaa, nguo za ndani afuliwe na pia aambiwe badilisha leo na vaa hizi hapa, maji ya kuoga awekewe tena ya moto sababu ameoa asipofanyiwa ataenda nyumba ndogo
hebu tujadiliane inawezekana kama mke pia anafanya kazi. huku si
ndo kumfanya mke mama na mume kuwa mtoto mdogo
asiejiweza mwenyewe
nini maana ya kuwa mke ni msaidizi ni kuwa kila kazi yako ifanywe na msaidizi na wewe huna kazi hiyo wenzetu wanaita overdelegation
KARIBUNI

heshima ndugu. mbona kodi ya nyumba ikidaiwa mwenye nyumba anaambiwa subiri baba hayupo? mimi siwezi kupanda gari aliyonunua mke wangu unless huo mchakato wa kulinunua tumefanya pamoja. wazima ara lakini?Halafu na kodi ya nyumba, kununua magari na kujenga nyumba bado mwanamke achangie! Wanaume wa siku hizi wanaohopa majukumu yao kuliko kuukosa uanaume wao!
siku hizi kitchen party wahudhuriaji ni majitu yasiyoolewa unategemea kuna somo zaidi ya kucheza taarabu kama kwenye mikutano ya maccm? ni uharibifu wa fedha za kusomeshea watoto tu ndo unafanyikaLabda kabla sijajikita kuchangia ningependa kujulishwa hawa wanawake huwa wanafundishwa nini kuhusu mume wanapofanyiwa kitchen party? Kile wanachofundishwa kuhusu mume ndicho wanachokitendea kazi? na walimu wao huwa ni wanawake au wanaume?