Mke afumaniwa na shemejiye chumbani..tazama mapicha hapa!

Mke afumaniwa na shemejiye chumbani..tazama mapicha hapa!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,333

Ujira wa usaliti ni aibu kubwa! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Baba Anorld almaarufu Ngosha, amedai kumfumania laivu mkewe, Anjela ‘Mama Anorld’ akiwa chumbani na shemeji yake aliyetajwa kwa jina moja la Paulo.

Tanganyika jeki: Mtuhumiwa Paulo akiwa kakamatwa Tanganyika jeki baada ya kunaswa.

Fumanizi hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatano wiki hii, nyumbani kwa wanandoa hao huko Vingunguti-Mikoroshoni, Dar baada ya Ngosha kumwekea mkewe huyo mtego.

Ilielezwa kuwa awali, Ngosha alikuwa akishirikiana na Paulo kwa mambo mengi na hakuwa na shaka naye lakini kuna siku moja majirani walimwambia ‘Oyaaa…babu shtuka mali zako zinaliwa, tena kikulacho ki nguoni mwako’.

Mtu na shemeji yake: Paulo na Anjela ‘Mama Anorld’ baada ya fumanizi.

Ilielezwa kuwa baada ya kuambiwa maneno hayo alitafakari lakini akashindwa kupata majibu hadi pale alipotamkiwa kabisa kuwa jamaa yake anamsaliti kwa mkewe.

Ngosha alisema katika uchunguzi wake, wapambe walimng’ata sikio kuwa anazungukwa na Paulo ambaye amekuwa akimuita mama Anord shemeji huku akimng’ong’a Ngosha kisogoni.

Kuua soo: Mtuhumiwa Paulo akijaribu kujitetea baada ya kunaswa akijivinjari na shemeji yake.

Ilisemekana kuwa wapambe hao walimtonya Ngosha kuwa akiwa hayupo mgoni huyo na mkewe huingia chumbani kwake na kufanya yao.

MTEGO WATEGWA, OFM MZIGONI
Habari zilieleza kuwa baada ya ‘kujazwa sumu’ juu ya taarifa hizo, Ngosha aliwaomba wapambe hao wamsaidie kutega mtego huku Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ikiomba kuingia mzigoni.


Aibu: Paulo akizidi kupata hali ngumu baada ya kufumaniwa na shemeji yake.

ILIKUWAJE?
Ngosha aliambiwa ajifanye amesafiri na kutarajia kurudi kesho yake.
Akiwa kazini, alimpigia simu mkewe akamtaarifu kwamba asimuandalie chakula kwa kuwa kuna ‘kijisafari’ cha dharura na kutarajia kurudi kesho yake.


Karaha: Watuhumiwa wakitembezwa mtaani kupelekwa kituoni.

Ngosha hakusafiri, badala yake alikuwa mtaa wa pili huku mashushushu wake wakilizunguka eneo la tukio na kuangalia kila kilichokuwa kikiendelea kisha kutoa taarifa kwake.

PAULO AWASILI KWA MBWEMBWE
Ilipofika saa 3:43 usiku, Paulo aliwasili eneo la tukio na kuingia chumbani kwa Ngosha akiwa na kifurushi chenye chipsi na vipapatio vya kuku.


Safari: Safari ya kuelekea kituoni ikiendelea.

Bila kujua nje kuna wapigachabo waliopandikizwa na Ngosha, wawili hao walianza kupiga stori za ‘Kivalentine’s Day’ wakijua mwenye ndoa yake alikuwa safarini.

‘TAP’ TAA YAZIMWA
Kwa mujibu wa wapigachabo hao, saa 6:12 usiku, yale mazungumzo yalikatika ambapo wawili hao walizima taa ndipo mashushushu walipomtaarifu Ngosha.


Majuto: Anjela ‘Mama Anorld’ akijutia kitendo alichofanya na shemeji yake.

NGOSHA ARUKIA MLANGO
Saa 6:14 usiku, Ngosha alipokea simu kutoka kwa wapigachabo wake waliomtaarifu kuwa tayari mambo ‘yamekwiva’ chumbani kwake na ndipo mwenye mali huyo alipokimbilia eno la tukio.
Alipofika aliurukia ‘samasoti’ mlango wa mninga ambao ulimdindia na kukataa kuvunjika.


Ngosha, akiwa kwenye tafakuri kuntu ya namna ya kuvunja mlango, baba mwenye nyumba aliyejitambulisha kwa jina moja la Ndosi alitokea na kumdhibiti huku akimsihi asifanye vurugu wala kuua mtu bali ajaribu kuwagongea kiustaarabu ili kuunusuru mlango wake.

Siri ya ndani: Mwenye mali akiwa na masikitiko baada ya kusalitiwa na mkewe.

WAVAA CHAPUCHAPU
Saa 6:21 usiku, wakati wakigongewa walitumia nafasi hiyo kuvaa chapuchapu na kufungua mlango wenyewe ambapo liliibuka varangati zito kati ya wawili hao walionaswa na Ngosha na kundi lake ambapo palichimbika.


Kitendo cha kumfumania mkewe laivu kilimfanya Ngosha amwage chozi la kiutu umzima kutokana na kutoamini alichokishuhudia.

Masikitiko: Mume akiwa na mkewe baada ya timbwili hilo.

MGONI APIGWA FAINI
Saa 6:45 usiku, ingawa varangati lilikuwa kubwa lakini wasamaria wema waliingilia kati na kuwatuliza kisha kuwataka Ngosha na mgoni wake (Paulo) wakae kitako na kuyazungumza kiutu uzima kwa maana hata Rich Mavoco ameimba kwenye Wimbo wa Roho Yangu kuwa ‘ku….. ni siri ya ndani’ hivyo nao walifanye jambo hilo liwe siri.


Paulo na Angela waliwekwa kitako na wasamaria wema pamoja na mwenye mke na kujadiliana jinsi ya kufanya ambapo awali Paulo alisema atampa Ngosha faini ya Sh. milioni moja ili yaishe.

Wakati Ngosha akijiandaa kupokea kitita chake, alishangaa Paulo alipomuambia fedha hiyo waandikishiane kimaandishi kwa kuwa hakuwa nayo mkononi.
Ngosha aliona longolongo na kuomba msaada wa wasamaria wema wamsaidie kuwafikisha watuhumiwa wake polisi.


WAGONI WAPELEKWA POLISI MSOBEMSOBE
Mishale ya saa 7:42 usiku, wagoni hao walitembezwa mtaani wakipelekwa kituo cha polisi ambapo ilipofikia saa 8:34 usiku, walikuwa wamefikishwa Kituo Kidogo cha Polisi cha Buguruni Kwamnyamani, Dar.
Wakiwa kituoni hapo, baba mwenye nyumba wao alitoa lake la moyoni na kuwakabidhi wote waliofumaniana kituoni hapo na kujivua lawama.

Hata hivyo, hadi OFM inaondoka kituoni hapo, bado wahusika walikuwa wakihojiwa ili sheria ichukue mkondo wake

​
 
Sijui hata mtu na shemejio mnaanzanaje?

Wenye uzoefu please!!!

mazoea hujenga tabia madam.

kama wote mna vitabia vya ajabu ajabu vinavyoendana, lazima mtazini tu!

nilishashuhudia hii kitu... mtu na shemeji yake kabisa!
 
Sijui hata mtu na shemejio mnaanzanaje?

Wenye uzoefu please!!!

Mi nisha mula shemeji hakuna kaz pale uktak kumla we mpestory za chumbanitu tena zile tamu wakati huo we ukjionyesha ni bigwa wa hayo majamboz.
 
Mi nisha mula shemeji hakuna kaz pale uktak kumla we mpestory za chumbanitu tena zile tamu wakati huo we ukjionyesha ni bigwa wa hayo majamboz.



Hovyooooooo. Wewe bwana kwa staili hii unaweza gegeda hata wanao.

------.
 
mazoea hujenga tabia madam.

kama wote mna vitabia vya ajabu ajabu vinavyoendana, lazima mtazini tu!

nilishashuhudia hii kitu... mtu na shemeji yake kabisa!

Huyo ---- hapo juu umemuona? Kaibuka na tuchipsi kuku. Eti faini milioni halafu ya kuandikiana. Lols.
 
Huyo ---- hapo juu umemuona? Kaibuka na tuchipsi kuku. Eti faini milioni halafu ya kuandikiana. Lols.

Kwa maana ingine kama iyo milioni ingekuwepo cash, jamaa angewalk free! Umaskini ni kitu kibaya sana. Fikiria huyo mke atakuperceive vipi? Next time atakwambia ngoja nikapigwe tupate milioni.
 
Heheh purukushani zote jamaa alikuwa anataka kitu cha milioni moja tu...

Haya matukio huwa naamini wanandoa huwa wanapanga kama kitega uchumi...

Hakuna cha fumanizi wala bibi yake fumanizi
 
Heheh purukushani zote jamaa alikuwa anataka kitu cha milioni moja tu...

Haya matukio huwa naamini wanandoa huwa wanapanga kama kitega uchumi...

Hakuna cha fumanizi wala bibi yake fumanizi

Ungekuwa wewe umefumania ungetoa adhabu gani?
 
Kwa maana ingine kama iyo milioni ingekuwepo cash, jamaa angewalk free! Umaskini ni kitu kibaya sana. Fikiria huyo mke atakuperceive vipi? Next time atakwambia ngoja nikapigwe tupate milioni.

Hahahaaaa. Lols. Ama mume akikosa hela ya bia anamwambia mke wangu leo geuka upande bei. Its crazy!!!
 
Faini milion moja alafu na mwanamke naye anaenda kutumia hiyo ela! bongo fulu vituko!
 
Sijui hata mtu na shemejio mnaanzanaje?

Wenye uzoefu please!!!

Its simple,tena inaleta heshima maana shemeji shemeji zitakuwa nyingiiiii bila hata sababu ya msingi, itafika kipindi hata akijikwaa badala ya kusema 'Mungu wangu!' atasema 'shemejiiii'
 
Back
Top Bottom