Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 627
- 1,533
Kwangu, hiki ni kipimo, cha kuwajua wana JF ambao ni wahenga, na wanalijua JIJI toka enzi zilee za ma Ikarus! Enzi zilee za kufukuzana na magari ya NMC ili kununua unga!Kwa wale wahenga wenzangu wa Oysterbay na Masaki , mnakumbuka kipindi cha miaka ya 80 , pale Morogoro stores, kulikuwa na duka lina uza Mikate ya Siha...
Nakumbuka Ikarus na mabasi ya Kamata, mabasi ya kamata yalikuwa hayo yalipita nje ya nyumbani kwetu , kipindi hicho niko mdogo , hausgeli wetu alikua ana penda kunitisha kama nilileta utundu kwamba ata niletea basi la Kamata nilinakate na nilikuwa na uoga mkubwa nikiona basi la Kamata.Kwangu, hiki ni kipimo, cha kuwajua wana JF ambao ni wahenga, na wanalijua JIJI toka enzi zilee za ma Ikarus! Enzi zilee za kufukuzana na magari ya NMC ili kununua unga!
, nilikuwa najiuliza ilitokea wapi ? na je kwanini kwa sasa haipo?Hii mikate ya siha ilikuwa inaokwa pale Tazara kilipo kiwanda Cha ngano Cha Azam.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Asante sana, je kwa sasa inapatikana hiyo mikate?Siha maana yake ni afya njema, huo mkate ulikua ni wa NMC nadhani
Kula chuma hapo chini
Hii ni dedication kwetu sisi wahenga
Habari za jioni wana JF Imetokea nikapata tafakari (reminisce) utamu wa maisha yetu ya kale. Pale ambapo ulikua unajiandaa kwenda shule asubuhi, kwa mbaali unasikia kipindi cha "mazungumzo baada ya habari" kikiendeshwa na Marehemu David Wakati. Unachukua begi lako pamoja na ufagio wako wa...www.jamiiforums.com
Kwani ilikuwa inapikwaje?Tuleteeni mkate mtamu wa SIHA hata kwa mwezi once tutanunua kwa bei yenu!
Haipatikani![emoji56][emoji39][emoji39]Asante sana, je kwa sasa inapatikana hiyo mikate?
Wenye Bakery wachangamkie fursa hiyoHaipatikani![emoji56][emoji39][emoji39]
Sijui ila ulikuwa viwango sana!Kwani ilikuwa inapikwaje?
mkuu kiwanda kiliitwa NMC-national milling corporation, Pia walitengeneza chakula kukuHii mikate ya siha ilikuwa inaokwa pale Tazara kilipo kiwanda Cha ngano Cha Azam.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
hiyo ndo miaka gari binafsi zilipangiwa muda wa kuwa barabarani hasa week endKwa wale wahenga wenzangu wa Oysterbay na Masaki, mnakumbuka kipindi cha miaka ya 80, pale Morogoro stores, kulikuwa na duka lina uza Mikate ya Siha, kipindi hicho niko mdogo sana sikumbuki vizuri ila ninachokumbuka kama vile ilikuwa inapaikana mara moja kwa week na kulikua kama inagombewa.
Sijui sababu haswa ilikuwa ni nini kugombewa kihivyo na kwanini ilipatikana mara moja kwa weeki na je, Mkate wa Siha ulikuwa mkate unatengenezwa kwa nini haswa, sababu ulikuwana utamu a aina yake.
Yes ili kuwa juma pili gari zilikuwa haziruhusiwi.hiyo ndo miaka gari binafsi zilipangiwa muda wa kuwa barabarani hasa week end