Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,939
- 67,463
Ndio nikapata nguvu ya kuleta mada hapa π simba ingeshinde ninge kaa kimyaBaada ya kuona sare ndiyo unapika mikateπ€£π
Ahah mtaani tu kakaNilihisi tu ni wewe, sasa hivi vitu unajifunzia wapi mkuu
Ahah yupo mbali shida akiwa karibu anakuwa na tabasamu sanaAsante kwa pishi, wifi ana enjoy sana.
Lazima atabasamu raha sana kupikiwa na mpenziAhah yupo mbali shida akiwa karibu anakuwa na tabasamu sana
Unawahi wapi mjukuu wangu! Bibi yako mwenyewe ndiyo kama vile.Naomba unioe.
Nataka nikale mapochopocho.Unawahi wapi mjukuu wangu! Bibi yako mwenyewe ndiyo kama vile.
Nitakuwa nakupikia mimi mwenyewe siku moja moja. Ngoja nianze kujifunza.Nataka nikale mapochopocho.
Huo ni mkate unakula Na chai ya maziwa au chai ya ilikiduh
hichi mbona kama kitumbua kikubwa
unakila na nini?
tembea uyaone kwa kweliHuo ni mkate unakula Na chai ya maziwa au chai ya iliki
Ni kweli ila napendaga kama nikipika naye awepo jikoni niwe namtuma tuma na utani wa hapa na paleLazima atabasamu raha sana kupikiwa na mpenzi
Sheria moja utakiw kunenepa? πNaomba unioe.
Ahahah kabisaWazee wa utapiamlo hawaelewi hapo π€£π€£