Mkataba wa pikipiki

Naitwa Nickson naishi dar es salaam maeneo ya tabata, Nina shida na pikipiki yaani niingie na mkataba na bosi atakaye ninunulia ntakuwa namlipa kwa wiki 70,000/= baada ya mwaka inakuwa yangu
Napatikana kwa namba 0714 064767
Nenda Kisemvule nasikia wanatoa za mkopo zikiwa zimefungwa GPS. Ukiibiwa wanalusaidia kukamata.
Hesabu 10,000 kwa siku.
Pikipiki Haojue.

Sina mawasiliano ya wahusika kwahiyo usiniulize maswali zaidi.
 
Kisemvule mwenye kujua sehemu zinapopatikana pikipiki za mkopo atujuze
Nenda Kisemvule nasikia wanatoa za mkopo zikiwa zimefungwa GPS. Ukiibiwa wanalusaidia kukamata.
Hesabu 10,000 kwa siku.
Pikipiki Haojue.

Sina mawasiliano ya wahusika kwahiyo usiniulize maswali zaidi.
 
Ngoja niigawe kwa 12 nione mzigo kwa mwezi unakuwaje
 
Pikipiki = 2,350k
Bima comprehensive = 180k
Ownership transfer = 60k
GPS tracker ~ 100k
Jumla ~ 2.7M

Mapato 300k x 12 = 3.6M

Faida 3.6 - 2.7 = 900k
Hapo kama kila kitu kimeenda sawa.
Asee pkpk hii hii gharama hizo??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…