Mkataba wa amani kati ya DRC na M23

Mkataba wa amani kati ya DRC na M23

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Mkataba huu ulioandaliwa na serikali ya Qatar,inasemekana rais wa DRC,hakuafikiana nao,kama ilivyotangazwa na waziri mkuu wa Ubeljiji.

Badhi ya vigezo, ni kuitaka serikali ya DRC kuachia wafungwa wa kisiasa wanaohusishwa na M23 na kuunda kundi maalumu la jeshi la pamoja(FRDC na M23),kufuatilia maswala ya kiusalama katika Kivu,maeneo yanayotawaliwa na AFC/M23. Rais alisema hakubaliani na maombi haya, na kwamba AFC/M23 inatakiwa iachie maeneo yote,jambo ambalo haiafikiani nalo. Ni baada ya kuachia wanajeshi na askali Polisi waliokuwa wamekimbilia katika kambi ya Monusco huko Goma.

Kwa upande mwingine,AFC/M23 na yenyewe imeonyesha kutoridhia badhi ya vipengele, ikiwemo kinachoitaka kupokea viongozi serikali itakayotuma, kwa madai ya kwamba ina uwezo wa kutosha kuongoza eneo inalotawala, hivyo haihitaji ujio wa watu hao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom