mkataba wa ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkataba wa ajira

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kekuwetu, May 19, 2012.

 1. kekuwetu

  kekuwetu JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 327
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jamani naomba kuuliza hivi kama mtu ameajiriwa na akasaini mkabata lakini hakupewa copy ya mkataba na mwajiri (mwajiri amebaki nayo) je anaweza kumdai mwajiri mkataba wake hata kama amefanya kazi kwa muda mrefu? je mwajiri akikataa ana haki ya kumshitaki?
   
 2. M

  Mzee Kabwanga Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkataba ni wa pande 2 .MWAJIRI na MWAJIRIWA kwahiyo ni haki kupatiwa lakini wajiri wengi wababaishaji.
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndiyo:
  (1). unaweza kumdai mwajiri mkataba wa kazi hata kama ni muda mrefu umepita bila we kuwa nao(pengine hukupewa kabisa mkataba wakati unaanza kazi au ulisaini mkataba lkn hukupewa nakala)
  (2). Unaweza kumshitaki mwajiri kwa mamlaka husika (CMA au kuomba ushauri Idara ya Kazi) ukidai kupewa mkataba wako wa ajira (ukijikita kwenye applicationa and interpretation of the Law)
   
 4. j

  jeromyeddy New Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkataba wa ajira ni haki yako. unahaki kupewa nakala baada ya kusaini mkataba wewe na mwajiri wako, na ikitokea hajakupatia pia unahaki kudai kopi for your reference purposes na pia kama itatokea mtafaruku wowote kati yenu uwe na written document zinazoonesha makubaliano yenu pamoja haki zako.
   
 5. m

  mabhuimerafulu Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ukiwa kibarua je?
   
Loading...