Mkataa pema pabaya panahitaji

Oyaa usipotezee muda chukua hicho chuma cha mjerumani No.1
 
Tupia picha tumalizie kazi.
Ficha hata sura zao tuone chura,nyonga,hipsi na Chuchu.
Any way kati ya hao wanawake wako kuna aliye bikra au uliyemtoa bikra?
Umesema hujasoma unapata wapi ujasiri wa kutaka kuoa msomi wa digrii na asikuendeshe hapo home kwenu?
 
We kijamaa kiongo
Eti wote[emoji28]
 
Mchukue aliyekuja baada ya mwenzie, Ungempenda kweli huyo wa kwanza wa pili asingekuwa na nafasi πŸ₯΄
 
Namba moja mtakwenda sawa! Lakini ukiacha tabia kimaumbile nani anakuvutia zaidi? Na nani mtamu kumzidi mwenziwe? Hivyo navyo ni vitu muhimu pia kuviangalia.maana unaweza pata wenye vigezo vizuri lakini chumbani " wabaridi sio wamoto".
Hakuna mwenye sifa za mke hapo.
 
Kama hata wewe mwenyewe haujajua nani anafaa kuwa mkeo bado haupo tayari kuingia kwenye ndoa cha muhimu endelea kuchakata mbususu zao
 
Mbona wote wanatabia ya hasira hiyo ni 🚩🚩🚩. Ingawa kidogo huyo wa pili japo ikiwezekana piga chini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…