Mkataa pema pabaya panahitaji

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Nipo kwenye wakati mgumu wa kuchagua mtu sahii wa kufanya naye maisha

Nina wanawake wawili ambao nina pendana nao na wote na wapenda ila kwa mujibu wa imani yangu ni lazima ni mchague mmoja tu

Mmoja ni msomi na ni mfanya biashara mdogo
Na pia ni muajiriwa kwenye campuny ndogo ya kuchapisha picha kwenye nguo na mengine
Tabia zake huyu
Ni mkali saana sio mtu wakukaa kimia pale ninapo mkosea
Na akiamua kitu harudi nyuma kwa ufupi ni mwepesi wa asira saana
Na sio mtu wa show off

Huyu wa pili ni msomi pia kwao kuna kidogo yaani nina maana wazee wake wana pesa sio muajiriwa wala hana biashara yeyote zaidi ya kumiliki biashara ya wazazi wake

Tabia zake huyu

Ni mpole saana
Hana kiburi
Ni mcheshi
Pia ni mwepesi wa asira ukimchanganya utasoma namba
Na ni mtu ambaye ana penda kutumia pesa nyingi kutengeneza mwili wake kwa ufupi ana penda urembo

Sasa ina nipa shida kuchagua mtu sahii wote na wapenda saana
Je kufuata na tabia zangu hizi
Una fikiri ni nani anaweza kuwa sahii kwangu kwa hawa wanawake wa wili?

Kwa ufupi mimi mchafu yaani sijui kujitengeneza kama vijana wa kisasa
Pia mimi sio msomi
Tatu mimi ni mcheshi saana sio mwepesi wa asira
Mwisho najua kutafuta pesa lakini sijui kuzitumia nina weza kupata pesa nisipo kuwa na mtu sahii wa kuniongoza zote nina weza kuzimaliza kwa vitu vya kijinga

Je una fikiri yupi ndo anaweza kunifaa?
 
Namba moja mtakwenda sawa! Lakini ukiacha tabia kimaumbile nani anakuvutia zaidi? Na nani mtamu kumzidi mwenziwe? Hivyo navyo ni vitu muhimu pia kuviangalia.maana unaweza pata wenye vigezo vizuri lakini chumbani " wabaridi sio wamoto".
 
Wazee wake wana pesa... huyu ndo mke sasa

Shikilia hapo hapo mkuu, utakuja kunielewaga!
 
Eti wote nawapenda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Acha wote and upya na mmoja
 
Do they have FROGS?? If yes , choose an OVER-FROGGED One


Case closed.
 
Kwamba sisi tukakuchagulie mke wa kuoa Nini?
Human beings are lenient in nature,namaanisha kwa mademu zako lazima yupo mmoja ambaye unampenda zaidi ya mwingine.Kwa hiyo kaoe yule ambaye unampenda kwa dhati yako yote na kamwe hutajutia uamuzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ