Mkasa wangu

Tatizo la mtoa mada inaonekana ni mtu mwenye nyodo sana..,so anataka tumpetipeti ndo aje kuendeleza kisa tu ashajua tumeipenda story take. mabwiku acha hizo
 
Tatizo la mtoa mada inaonekana ni mtu mwenye nyodo sana..,so anataka tumpetipeti ndo aje kuendeleza kisa tu ashajua tumeipenda story take. mabwiku acha hizo

Apana majukumu tu,bt leo naweka usiwe na shaka.
 
Mbona unatufanyia ivo mabwiku jamani si umalizie tuuu.
 
toa kitabu hiyo story ya maisha yako watu watanunua kwa wingi promo kitapigiwa hapa JF na huko insta na FB nina uhakika kitauza kwa wingi
hizo habari chaji imeisha unakuja unaenda hazina tija kabisa zinaboa kama si kukela
 
Huyu ww mtoa maada unachohadithia ni nn? Hivi unafikir kila mtu ni jinga kama ulivyo ww? Kwenda zako usirudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…