Mkasa Wa Kweli kunitokea

Chai


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann ulimkata jicho? je ni kwasababu aligegedwa ukaona wivu? au kutosema ukweli kuwa ana mme?
kwann uliondoka bila kuambulia hata makombo ya mgegedo? ungepiga kwanza cha fasta ndio ukasepa zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaahaaa.....

Pole sana mkuu, naona ulikomaa kiume....tehteehh
 
Mkuu hiyo asubuhi ungekula mzigo kabla ya kusepa,

Ila pole sana,unakutana na mtu mda mfupi unajiamini kwenda kwake,utakufa mkuu..usifanye hiyo kitu tena
 
pole mkuu umenikumbusha mbali sana
 
Dah una bahati wangeweza kukufanya mbaya endapo wangekudaka, dont trust any body, hutakiwi kwenda kwa mwanamke, yaani sio tu nyumbani kwake bali hata ikionekana yeye anakuelekeza lodge flan ni hatari hasa unapokua ugenini maana hujui anawaza nini
 
vipi ungepata chafya ya ghala mkuu...kama nakuona vile hapo nyuma ya sofa. kojo linagonga hahaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…