UPDATE: MONDAY, 18TH MARCH 2024
KILE KILICHOPELEKEA MTOTO AMBAYE HAKUWA MGONJWA KUPEWA RUFAA KUTOKA MKOANI AKITOKEA NYUMBANI NA PASIPOK KUWA AMELZWA KWENYE HOSPITALI AU DISPENSARY
PRESENTATION MOJA ILIYOFANYWA NA PROFESA KANISANI JANA J2 YA TAREHE 17/03/2023 MARA BAADA YA IBADA KUMALIZIKA, INA UHUSIANO MKUBWA SANA NA TUKIO LA MTOTO HUYU
MTUMISHI WA MUNGU MGENI ALIYESIMAMA MADHABAHUNI J2 HAHUSIAKI NA CHOCHOTE KILICHOMO KWENYE MAELEZO HAYA
MAELEZO YA MAFUPI YA UTANGULIZI
Moja kati ya presentation mbili zilizofanywa Kanisani jana J2 ya tarehe 17/03/2023 ilikuwa na
uhusiano mkubwa wa kiroho na presentation ile ya kwanza aliyowahi kuifanya Profesa aliyehusika, mwezi Februari 2023 (mwaka jana
Mbali na hilo presentation zote hizi mbili za Profesa, yaani ile ya zamani na ile ya jana, zina uhusiano na ile
swala la mtoto aliyewahi kusingiziwa kuwa ni mgojnwa ilhali alikuwa ni mzima, na hivyo kupewa rufaa ya kuja kupatiwa matibabu huku akiwa anatokea nyumban
i kwao anapoishi; pasipo kuwa amelazwa kwenye hospitali ya rufaa ya kwenye Mkoa ule alikokuwa anatokea
- Akiwa bado yupo huko, kwa kuanzia, mtoto huyo alipewa rufaa kutokea kwenye Dispensari kwenda hospitali ya rufaa ya huko mkoani kwake
- Baada ya kuwa amepokelewa hospitlai ya rufaa, mtoto huyu alianza kuwa anapelekwa clinic kwa ajili ya kuchukua vipimo huku akipatiwa dawa na kurudi nyumbani pasipo kulazwa kwenye hospitali hiyo, na aliendelea kupata matibabu kwa mtindo huo kwa takribani wiki nne, kabla hajapewa tena rufaa nyingine ya kuja huku kwa aili ya matibabu zaidi
KIPINDI AMBACHO MTOTO HUYU ALIONEKANA KUWA ANA TATIZO
Alifunga shule wakati wa Pasaka ya mwaka 2022 akiwa mzima wa afya thabiti,
lakini ndani ya kipindi hicho hicho cha likizo ya Pasaka, ndiyo pale alipoonekana kuwa ana tatizo na hivyo kuanza clinic muda huo akianzia Despensary na hatimaye
kutokea Dispensary kwenda Hospitali ya rufaa, na hivyo tangu npale hakufanikiwai tena kurudi shuleni kwake hata baada ya likizo ya Paska kuwa imemalizika
KILE KILICHOPELEKEA HAYA YOTE KUTOKEA KWA MTOTO HUYU
ZILIHITAJIKA DNA ZA MHUSIKA, YAANI MJOMBA WAKE MTOTO, KUPITIA DNA ZA MTOTO HUYU
Kwa macho, umbile la mtoto huyu linaoenakana kuwa liko
“genetically identical” na lile la mjomba wake, yaani mhusika, na hivyo baada ya kuwa amechukuliwa vipimo kadhaa huko,
bado kilihitajika kipimo kingine cha kutoka kwenye ubongo ambacho
possibly kilishindikana kuchukuliwa huko kutokana na pengine, mojawapo ya sababu hizi
AIDHA
Vifaa vya huko vya kuchukua DNA kutoka kwenye ubongo havikuwepo au havikuwa mahsusi kama vile vilivyopo huku
AU
Vifaa hivyo vilikuwepo isipokuwa mamlaka ya huko ilishindwa kufanya zoezi hilo kubwa kutokana na ukweli kuwa
mtoto huyo hakuwa amelazwa hospitalini; siku zote alikuwa anatokea nyumbani kwenda kuchukuliwa vipimo hospitalini
KWA NINI ULIIBUKA ULAZIMA WA KUPATA VIPIMO HIVI
Huku Kanisani kwake mhusika, baada ya KM-A kuwa amefundisha somo la MWILI, NAFSI NA ROHO ikiwa ni pamoja na milango ya fahamu ambayo ni MACHO, MASIKIO NGOZI, ULIMI NA PUA, na hivyo kufanikiwa kurusha pepo kwenye maeneo haya yote,
ilifikia hatua mhusika akawa amepata ufahamu wa KUZUIA uwepo wa pepo kwenye maeneo haya
- Baada ya kuwa amezuia, utaalamu mwingine sasa ukawa umehitajika kwa ajili ya kuendelea kurusha pepo kwenye mwili ambao ulikuwa ni kwa njia ya DNA
- Kutokana na ukweli huu, vipimo hivyo vilihitajika sasa kwa ajili ya kurusha pepo kwenye DNA za mtoto ambazo ziko somehow IDENTICAL na zile za mhusika
Kwa hiyo kilichofanyika baada ya mtoto kuwa amepewa rufaa ya kuja huku, DNA zilichukuliwa kutoka kwenye ubongo, na baada ya hapo, ndiyo pale sasa usambazaji wa pepo kutoka kwenye GENES kuzitoa nje kwenye maeneo mengine ulipoanza
NAMNA USAMBAZAJI ULIVYOANZA KUFANYIKA: MR X NA KM-A WALIHUSIKA KWA KUANZIA
Alianza KM-A kwa kuchukua likizo
kwa mara ya kwanza, huku akiwa amerusha pepo kwenye vyote LOCATION na RELOCATION pia, na mara tu baada ya kuwa amerudi Kanisani,
aliitisha kongamano la UMISHENI, ambalo kusanyiko hili sasa ilikuwa ni DATABASE
Kwa picha ya uhakika aliyonayo mhusika muda huu,
ailiyekuwa MNENAJI MKUU kwenye Kongamano hilo lililofanyika mara tu baada ya KM-A kurudi kutoka likizo ya wiki tano, (OKTBA 2022); ni mmojawapo tu ya watu wanaoweza kuwa wana details sahihi zaidi kuhusiana na haya mambo ambayo yamekuwa yakiendelea hapo Kanisa A kwa muda mrefu sasa
- Baada ya Kongamano kupita, KM-A alipanda juu madhabahuni akiwa anachagua KEYS ambazo baadhi yake walikuwa ni KAIMU wake pamoja na Profesa (na mke wake pia) yule ambaye alikuwepo kwenye presentation ya kwanza Februari mwaka jana, na ambayo kwenye presentation ya J2 ya jana hakuwepo
- Baada ya hapo tena, mwezi uliofuata wa Novemba 2022, MR X naye aliingia kazini kwa mara ya kwanza kwenye mazingira ya ofisini kwao mhuiska, kwenye siku mbili za J5 na Alhamis za tarehe 23 na 24 November 2022 (mwaka juzi); siku ambazo MR X aliwaleta rafiki zake na mhusika ofisini
BAADA YA YOTE HAYA KUWA YAMEFANYIKA
Attempt ya kwanza ya kumshambulia mhusika kupitia DNA ikafanyika sasa J2 ya wiki hiyo, tarehe 27/11/2022; maandalizi yakiwa yamefanywa na MR X kwa siku za J3 na Alhmis
Bibi yule mwenye UMBO KUBWA (GENES) pale Kanisani, akaingia kazini wakiwa wanashirikiana na Profesa mwingine pamoja na Security Guard, zoezi ambalo nalo pia halikufanikiwa;
isipokuwa J2 hiyo ilitokea ajali ya ndege kwa sababu pepo huyo alikuwa tayari amesharushwa pia kwenye ardhi pia
Hadi kufikia muda huu, mbali na pepo huyu kuwa amerudishwa kwenye MWILI akiwa anakaa kwenye GENES, walikuwa pia tayari wamesham-translate kwenda kwenye ARDHI na pia DATABASE, kazi ambayo MR X alikuwa pia amei-RENEW kwenye siku hizo mbili tajwa, akiwatumia watoto rafiki zake na mhusika; aiku alipokuwa amewaleta kwenye mazingira ya ofisini
Baada ya attempt hiyo ya kwanza kufeli,
ikafuata sasa ile RENEWAL nyingine ambayo ilifanywa na Maprofesa wawili, mmoja akiwa ni yule aliyefanya presentation ya J2 ya jana na mwingine akiwa ni ile KEY iliyowahi kuchaguliwa na KM-A baada ya kuwa ametoka likizo
Kwenye siku ya presentation hiyo, pepo huyo alikuwa translated rasmi kutoka kwenye GENES, kwenda kwa PRESENTORS pia, yaani kwenda kwa watu wanaofanya PRESENTATIONS
KUHUSIANA NA MTUMISHI WA MUNGU MGENI ALIYESIMAMA MADHABAHUNI JANA J2 YA TAREHE 17/03/2024
Matukio haya yaliyotokea Kanisani J2 ya jana tarehe 17/03/2024, hayana mchango wa aina yoyote ule kutoka kwa kwa mtumishi wa Mungu huyu aliyesimama madhabahuni J2 hiyo;
isipokuwa kwa kuangalia namna pattern ya matukio ya nyuma ya AINA HII ambavyo yamekuwa yakipangwa na kufanyika, inaonyesha dhahiri kabisa kuwa presentation ya Profesa ililenga pia kumchafua pia mtumishi huyo wa Mungu
Pasipo kutumia unagalifu, akili ya haraka haraka ilikuwa inakubaliana na FACT iliyozoeleka siku zote kwamba
renewal au usambazaji wa mapepo huwa unaanza kwa MADHABAHU KUSHAMBULIWA KWANZA halafu baada ya hapo ndiyo RENEWAL au USAMBAZAJI hufanyika
Kwa mara ya kwanza, J2 ya jana mhusika aliona pattern iliyo tofauti na ile ambayo ameizoea siku zote
Kwa hiyo, Mtumishi wa Mungu aliyesimama Madhabahuni J2 ya jana hahusiki na chochote kile kitakachoelezwa humu
……………………..inaendelea