Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,442
- 6,931
- Thread starter
- #1,881
UPDATE: TUESDAY, 16TH JANUARY 2024
MHUSIKA AKOSWA KOSWA KWENYE “MAP” YA KUTAKA KUSABABISHWA AMSHUSHIE TUHUMA NZITO MR X, KWA TUKIO AMBALO LILIKUWA NI HEWA
Siku ya jana J3 ya tarehe 15/01/2024, mhusika alikoswa koswa kwenye mtego wa kumshushia tuhuma nzito MR X; tuhuma ambazo mpaka muda huu amejiridhisha kuwa tukio lake halikutokea na hivyo ulikuwa ni “mchoro”
Tukio hilo lilisukwa na watu watatu, assuming MR X mwenyewe hakuwa amehusika kwenye kuusuka mchoro huo
Waliosuka mchoro huo ni OM-1, OM-2 na binti anayefanya kazi kwenye maabara ya MR X
Kilichotokea ni kwamba mhusika alitoka ofisini na baada ya kurudi, watu hawa walimpa kumpa taarifa za tukio la uongo huku wakimweleza kuwa aliyepelekea tukio hilo kutokea ila pasipo kudhamiria ni MR X; tukio ambalo details zake zilikuwa ni za uongo
ASSUMING MHUSIKA ANGEAMINI KUWA TUKIO HILO LILITOKEA NA HIVYO KUPELEKEA KUMTUHUMU MR X, ILHALI HALIKUWA LIMETOKEA
Assuming mhusika angeweza kuingia kwenye mtego na hatimaye kushusha tuhuma za tukio hilo la uongo kwa MR X,; baada ya tuhuma hizo kuwa verified kuwa si za kweli bali mhusika anamsingizia MR X; kama MR X angeaamua kutokuwa mwaminifu kwa mhusika baada ya tuhuma hizo za uongo, naye vilevile angeweza kumtuhumu chochote cha uongo mhusika na watu wasingepata shida yoyote kukiamini
Taarifa za tukio lenyewe zitawajieni baadaye
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA