Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Ila hii style ni nzuri sana kwa wazinzi kama nyie...huyo bibie kakukomesha hahahahaa
 
Teh, pole jamani. Mheshimu mkeo, hiyo hela yote ungempa yeye angekupenda mno
 
POLE SANA JOMBAA..................
 
kumbe haya matangazo ya dawa za kiume mjini ni ya kweli ? kumbe wateja wapo
kumbe wanaume wa dar hadi wawe na kisaidizi ??????????
Bila kunywa supu ya pweza, konyagi, na hayo maviagra.. Hawana tofauti tu na wewe hawana uwezo wa kula warembo.
 
kumbe haya matangazo ya dawa za kiume mjini ni ya kweli ? kumbe wateja wapo
kumbe wanaume wa dar hadi wawe na kisaidizi ??????????
Hiyo inaitwa four wheel drive. uki ingeji hiyo hakuna kukwama dadadeki...
 
Ala di n'udi n'udi (there are different kinds of madness)
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHA
 
Bado una swaga za stahili hii, wajinga ndiyo waliwao.... Mbaya zaidi una mke bado unahangaika njee, nawachukia vijana wanao kimbilia kuoa kwa msukumo wa familia, rafiki ona sasa unakimbizana na vibinti vya chuo jinga sana wewe, sijuwi kama unajitambua
 
Ulipoona wamezid idad ungewatoroka,ungesubiri wameagiza ukazuga unaenda toa pesa kwenye tgo au mpesa,ukakimbia.ilinikuta mwaka flan mabibo hostel,ilkuwa birthday yangu nikawalika wawili tu demu wangu na rafk yake lkn huyu rafk alikuwa mkubwa kwa demu wangu.tulipanga waje hostel tukutane pale abc kisha twende kawe beach,siku hiyo bana yule rafk akaja na madem wengine wawili na jamaa mmoja,wakaagiza vinywaji vya hatari yaan round moja 30 ikaisha,wale masistaduu wanaanza kujisemesha ooh nina hamu ya kuku maraa njaa,kumbuka yle demu wangu hakuja eti kwao kazuiliwa,kalikuwa form four enzi hizo,nilichofanya nikawambia naenda nunua vocha,nilinyookka had chumban na sikutoka tena.mifa kama saa sita usiku nikapita kwa mbali abc naona wanapigwa na upepooo,na mahsiano yaliishia hapo
 
Ishukuru Viagra kama mkombozi na mtunza siri wako ....ukiangaliwa kwa nje unaonekana bonge la Bwana dude limetuna hiiihaaaa kumbe............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…