Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Hata leo yapo mazee yanahadithia wajukuu zao,Kariakoo yote hii ilikuaga pori,Magomen mchana simba walikua wanakatiza,nafikir walikua kama wewe,kuwaza nyapu tu kila wakat mnasahau mambo ya mcngi
 
Some of these people are are brought in by the devil to "mess up-things".
But why did you get involved at first place? Pole sana.
Kukaa mbali na haya mambo kunaepusha mambo mengi sana.
 
Bora tu maana wife at least alipata weekend ya uhakika! Mungu huwasaidia viumbe wake kwa namna tofauti tofauti... wife weekend yake ilienda safiii kabisa kwa kutimiziwa hitaji muhimu la ndoa kwa wakati wake. Pengine alikuwa anaomba Mungu kila kukicha juu ya show zako za kijogoo jogoo na Mungu akamjibu kwa njia ya ajabu.

Prays the Lord......
 
aiseee umeongea point tupuu
 
Si ajabu aliondoka nyumbani kwa kiburi sana, akiulizwa unakwenda wapi maana ameoga na lynx deodorant juu, anajibu unaniliza kwa nini? Amerudi mdogo kuliko piriton.
 
Pale pale walivyoshuka ungewambia umepigiwa simu ya dharura unaitajika sehemu muhimu sana badala ya taxi ukawaitia bajaji chakushangaza nyumbani imeacha 10,000 hahahah wanasema uliluka mkojo ukakanyaga mavi ungebaki kwa mke wako ungekura bule kabisa
 
Pole sana blaza, haka kamchezo hakahitaji hasira
 
Mi nayatafakari maneno waliyokuwa wanayaongea hao mademu wakati wanakuja na wakati walipoondoka,na inawezekana hata wakati umekaa nao walikuwa wanakonyezana, unajua walikuwa wanakuongeleaje ..........???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…