elias godfrey
Member
- Oct 13, 2012
- 35
- 6
mm ni kijana ambae mtanashati,mcheshi nilikua na msichana wngu ambaye anaitwa glory first time nilimuona church coz nina sali naye nikajaribu kumuomba namba yke alinipa tukawa tunawasiliana kila siku nikamuapproach nashukuru akanielewa akawa she is ma gal tukaendelea kuwasiliana siku moja aliniomba tuonane but mm nilikua busy sana nikamuomba radhi akanielewa but cha ajabu tokea mwezi wa tano mpaka leo hii namba yke haipatikani nikikutana nae church ananikimbia kimbia Nilitamani nipate muda kuongea nae nashukuru last sunday nilimuona nikamfuata nikamsimamisha cha ajabu nimemsalimia yy alikaa kimya na akaamua kuondoka zake nilipomuita akuitika aliendelea kuondoka sasa sijajua tatizo nn mpaka sasa.nipebu ushauri niendelee kumfuata au niachane naye?
Kama unataka kuwa mshika mapembe basi endelea kumfuata! Nyota njema huonekana alfajiri, huyo si wako tayari ana mku wake!!!!
Godi achana na Gilo. Mwache. Utapata mwingine.

Alishapata taarifa zako mbaya ila alipotaka kukushirikisha ukajifanya uko bize basi endelea na ubize wako
mm ni kijana ambae mtanashati,mcheshi nilikua na msichana wngu ambaye anaitwa glory first time nilimuona church coz nina sali naye nikajaribu kumuomba namba yke alinipa tukawa tunawasiliana kila siku nikamuapproach nashukuru akanielewa akawa she is ma gal tukaendelea kuwasiliana siku moja aliniomba tuonane but mm nilikua busy sana nikamuomba radhi akanielewa but cha ajabu tokea mwezi wa tano mpaka leo hii namba yke haipatikani nikikutana nae church ananikimbia kimbia Nilitamani nipate muda kuongea nae nashukuru last sunday nilimuona nikamfuata nikamsimamisha cha ajabu nimemsalimia yy alikaa kimya na akaamua kuondoka zake nilipomuita akuitika aliendelea kuondoka sasa sijajua tatizo nn mpaka sasa.nipebu ushauri niendelee kumfuata au niachane naye?
mm ni kijana ambae mtanashati,mcheshi nilikua na msichana wngu ambaye anaitwa glory first time nilimuona church coz nina sali naye nikajaribu kumuomba namba yke alinipa tukawa tunawasiliana kila siku nikamuapproach nashukuru akanielewa akawa she is ma gal tukaendelea kuwasiliana siku moja aliniomba tuonane but mm nilikua busy sana nikamuomba radhi akanielewa but cha ajabu tokea mwezi wa tano mpaka leo hii namba yke haipatikani nikikutana nae church ananikimbia kimbia Nilitamani nipate muda kuongea nae nashukuru last sunday nilimuona nikamfuata nikamsimamisha cha ajabu nimemsalimia yy alikaa kimya na akaamua kuondoka zake nilipomuita akuitika aliendelea kuondoka sasa sijajua tatizo nn mpaka sasa.nipebu ushauri niendelee kumfuata au niachane naye?
kwakipimm ni kijana ambae mtanashati,mcheshi nilikua na msichana wngu ambaye anaitwa glory first time nilimuona church coz nina sali naye nikajaribu kumuomba namba yke alinipa tukawa tunawasiliana kila siku nikamuapproach nashukuru akanielewa akawa she is ma gal tukaendelea kuwasiliana siku moja aliniomba tuonane but mm nilikua busy sana nikamuomba radhi akanielewa but cha ajabu tokea mwezi wa tano mpaka leo hii namba yke haipatikani nikikutana nae church ananikimbia kimbia Nilitamani nipate muda kuongea nae nashukuru last sunday nilimuona nikamfuata nikamsimamisha cha ajabu nimemsalimia yy alikaa kimya na akaamua kuondoka zake nilipomuita akuitika aliendelea kuondoka sasa sijajua tatizo nn mpaka sasa.nipebu ushauri niendelee kumfuata au niachane naye?
kwakipindi chote anacho kuzingusha.unapokuwa kwenye sala inakuwaje?mm ni kijana ambae mtanashati,mcheshi nilikua na msichana wngu ambaye anaitwa glory first time nilimuona church coz nina sali naye nikajaribu kumuomba namba yke alinipa tukawa tunawasiliana kila siku nikamuapproach nashukuru akanielewa akawa she is ma gal tukaendelea kuwasiliana siku moja aliniomba tuonane but mm nilikua busy sana nikamuomba radhi akanielewa but cha ajabu tokea mwezi wa tano mpaka leo hii namba yke haipatikani nikikutana nae church ananikimbia kimbia Nilitamani nipate muda kuongea nae nashukuru last sunday nilimuona nikamfuata nikamsimamisha cha ajabu nimemsalimia yy alikaa kimya na akaamua kuondoka zake nilipomuita akuitika aliendelea kuondoka sasa sijajua tatizo nn mpaka sasa.nipebu ushauri niendelee kumfuata au niachane naye?
kijana hebu nisome mimi tena kwa umakini mkubwa.
achana na huyo fara anakuweka bize kijinga
hizo nyodo na mbiringe anazokuletea zishapitwa na wakati
TUPA KULE...(kwan hapo kanisani mchuchu ni yeye tu?
omba namba ya chombo kingne ukamatie!)
mazima.
Kwan huyu bebe wako anamiaka mingapi? , we hauna scandal yyte kwa mtaa!!! ukijib hapa ntajua tuanzie wapi???
bt uwe unakumbka na wimbo wa fid, ucnikubali haraka