- Mkuu la Mkapa kuwa familia tumeshalipita, sasa la msingi ni what else wanajua between wao ambacho ni muhimu kwa sisi taifa na hasa wananchi, kama sio Arumeru tungejuaje haya sasa ya wao kuwa familia moja!
- I mean I have a lot of respect kwa Vincent, he is young and very smart na A leader, na I have no question about Mkapa's leadership skills, lakini najua for a fact sio a politician na yeye mwenyewe alikubali hilo alipokuwa anapewa Urais 1995 alipotaka asiwe Mwenyekiti wa CCM, sasa what went wrong mpaka Vincent kufikia kwenda njia panda ni lazima kuna something Mkapa said ambacho sio sawa!
- Hapo ndipo ninapo-question busara za CCM the giant kumpelekea kule, wakati wanao Vijana wengi sana ambao wangeweza kwenda huko na kukamilisha kazi, I mean I hope itakuwa lesson learned, kama Januari aliwea kushinda jimbo lake kwa kishindo, leo atashindwa nini kushinda huko Arumeru? Na ni lini hawa kina Januari watapewa nafasi hizi?
I mean in a big picture, ya Arumeru ayan raise some serious questions na nia ya Wazee kuaachia Vijana!, yanayo endelea huko ni aibu kwa taifa kwa wana familia ya Baba wa Taifa kuingia kwenye kampeni za kuchafuana kwa kumtumia the very Mwalimu, waliyetuaminisha kwamba wanamjua sana na kumpenda sana na siku zote wamekwua pamoja sana kwenye ishus zako za kifamilia,
I mean kwa nini Madaraka amejitokeza in fulll swing kum-support Vincent? Kuna nini hasa behind this whole thing? Ingekuwa Ughaibuni media isingeishia hapo ilipoishia kama ya kwetu kungefukuliwa mambo mengi sana, sisiemi kwamba kuna ukweli wa tunayoyasikia, lakini ninaaamiini kuna mengi sana yapo chini ya haya tunayoyasikia na tunahitaji kuyajua hili taifa!
ES!
Kwa wale tuliokuwa watu wazima 1989 tunakumbuka Jinsi Mwalimu alivyolazwa Uingereza kwa matibabu ya Kansa (Saratani) ya damu ambayo hatimaye ndiyo ilikuja kumuua. Hizi tabia za kusahau mambo ya msingi ndiyo imetufikisha hapa tulipo. Toka 1989 hadi leo 2012 imepita miaka 23 huyu Vincent alikuwa wapi kutuambia kwamba Mkapa amempa Mwalimu Sumu itakayokuja kumuua? Kama amejua siku za hivi karibuni ni nani aliyemwambia? Hivi mwaka 1989 wakati Mwalimu anafanyiwa Opresheni ya kuzuia kansa kusambaa mwilini mwake Mkapa alihusikaje?
Kwa wale tuliokuwa watu wazima 1989 tunakumbuka Jinsi Mwalimu alivyolazwa Uingereza kwa matibabu ya Kansa (Saratani) ya damu ambayo hatimaye ndiyo ilikuja kumuua. Hizi tabia za kusahau mambo ya msingi ndiyo imetufikisha hapa tulipo. Toka 1989 hadi leo 2012 imepita miaka 23 huyu Vincent alikuwa wapi kutuambia kwamba Mkapa amempa Mwalimu Sumu itakayokuja kumuua? Kama amejua siku za hivi karibuni ni nani aliyemwambia? Hivi mwaka 1989 wakati Mwalimu anafanyiwa Opresheni ya kuzuia kansa kusambaa mwilini mwake Mkapa alihusikaje?
Madaraka kaulizwa na waandishi wa habari, na yeye akaamua kujibu moja tu, nalo ni la uhusiano kati yake yeye na Vincent, huko ni kum support Vincent au kusema ukweli? Sasa kusema kuwa kajitokeza full swing kujibu, basi angejibu maswali yote aliyoulizwa.
Najua maana ya Yamini na Yasini. Yaamini kwa tafsiri rahisi ni Kuapizana! kwani unakusudia nini MKuu!!??Hivi unajua YAMINI ni nini na maana yake?
1999 bro, naona hata wewe umesahau
Sasa kama unaelewa hivyo inakuwaje unachanganya na Adoption au kuchaguliwa?. Kwa nini unajaribu sana kutafisri kilichofanyika kwa mila za kizungu wakati unajua fika kwamba sisi ktk mila zetu tunaapishana undugu kwa kufuata mila zetu. Kula Yamini ni Undugu wa kiapo!Najua maana ya Yamini na Yasini. Yaamini kwa tafsiri rahisi ni Kuapizana! kwani unakusudia nini MKuu!!??
- Mkuu Madaraka, angesema tu watayamaliza kwenye familia hawa si familia moja, sasa ukiona Madaraka anamsimamia Vincent maana yake kuna more than what is being said here, unless I am missing something here!
Es!
Hoja yangu hapa si hicho "kilichojificha" bali "uuaji" wa Mwalimu uliofanywa na Mkapa. Watu wamekomalia hilo na hiyo ni dalili ya watu kuchoka kufikiri. Kama kuna kitu kimejificha waje wachimbaji wakichimbue lakini tusing'ang'anie kwamba Mkapa alimuua Mwalimu!!- Kigharama kwa sisi tuliokaaa sana nje maana ya hii yote ni kwamba kuna mengi zaidi hawa wanayajua, je ni yapi na nini umuhimu wake kwa taifa na hasa sisi wananchi?
- I mean Vincent amsema na Madaraka amemuunga mkono tena in full swing, sasa kama unajua kusoma betweeen the lines ni kwamba kuna bigger ishu hapo, si unajua panapofuka moshi chini kuna moto? Vincent sio mjinga so is Madaraka, now what is the ishu hapa maana ya kumuuua Mwalimu siamini kwamba ndio the ishu hapa kuna something else hapo!
Es!
Sasa mbona unamchagulia jibu, mkuu? La kumaliza kifamilia ni lipi wakati unaulizwa kama flani ni ndugu yako au sio, au uhusiano wenu ukoje. Huko kwenye kumaliza kifamilia litasemwaje? Na yeye Vincent angejisikiaje kama leo ndugu yake wa karibu kabisa angeshindwa kuwathibitishia Watanzania kuna wana uhusiano? Siri iko wapi hapo? Angekuwa anatumia jina tofauti labda. Kuna wakina Nyerere wengi tu ambao hawatumii "Nyerere".
- Kwenye hili CCM hawakuwa makini ingawa sijui the prons, lakini kumpeleka kampeni kama hii Mkapa, siamini kwamba politically ilikuwa a sound idea, ninaamini huku walitakiwa Vijana zaidi infact hata wagombea wenyewe wako in their 20s, labda kuna something sijui lakini kwa maoni yangu it was overreaching on CCM's part!
Es!
Mkuu wangu na wewe kaa huijui Bongo. Wakachimbue kaburi ili iweje? Mtajaribu sana kumsafisha Mkapa wakati hasafishiki..Ukweli unajulikana sema watu hawana uwezo tu...Amefanya kosa pale alipotaka kuonyesha anawajua sana familia hiyo ndipo watu wakamwondolea Uvivu. Kafungua mwenyewe dirisha la hoja, sasa watu wanafungua milango yote!Hoja yangu hapa si hicho "kilichojificha" bali "uuaji" wa Mwalimu uliofanywa na Mkapa. Watu wamekomalia hilo na hiyo ni dalili ya watu kuchoka kufikiri. Kama kuna kitu kimejificha waje wachimbaji wakichimbue lakini tusing'ang'anie kwamba Mkapa alimuua Mwalimu!!
- Kumuuuliza Madaraka kama Vincent ni ndugu yake ni ukanjanja wa media zetu, kwa sababu that was not the ishu, mkuu Kigharama vipi mkuu mbona speed sana ndio mnatuogopesha kwamba huko kuna something!
Es!
Field Marshal kuna kitu unakijua sisi hatukijui, sasa bora mwaga mboga kabisa wanaume tukunje miguu kwenye janvi..Sii kawaiada yako kuzunguka mbuyu kwa saaana!Enlighten me sir, what was the issue?
Field Marshal kuna kitu unakijua sisi hatukijui, sasa bora mwaga mboga kabisa wanaume tukunje miguu kwenye janvi..Sii kawaiada yako kuzunguka mbuyu kwa saaana!
Mimi si kijana kiasi hicho. Nimewahi kushuhudia watu wakichanjiana damu na wengine ni "ndugu" zangu kabisa. Lakini hoja yako nimeshindwa kuiona kabisa. Kama undugu wa Mkapa na kina Nyerere ni wa kuapizana ina maana Mkapa hana hadhi ya kujiita ndugu wa kina Nyerere?. Ugumu wake uko wapi au nyie vijana sana hamjawahi kuona wala kukumbuka mila hizi..