Kwanza ningependa kumkumbusha Kayanza Peter Pinda, kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu, sasa kama siku hizi kwa sababu ya madaraka amemuasi basi na aendele kama alivyo.
Kuhusu mkapa kutokuwa fisadi na kwamba mfumo wetu unaweza kuzui jambo kama hilo, basi leo hii tusingenzungumza MEREMETA ni usalama wa Taifa, au tukichunguza ufisadi fulani basi nchi haita kamatika.
Na kudhibitisha kwa mfumo wetu umeshindwa ni kuwepo kwa scandal za Raisi kujiuzia kiwira kwa bei ya kutupa, kuuza nyumba za serikali bila kufanya cost benefit analysis, kuingia mikataba ya madini ambayo haina tija kwa nchi, kuingiza nEt group solution bila kufanya tathimi ya faida na hasara zake, Jeshi kununua Helikopta ambazo hazifai kwa matumizi ya kijeshi, na vifaa vingine, kama malory etc, sasa Kaka yangu Pinda unataka mpaka watu wachinjane ndio ujue nchi imefikia mahali pa ufisadi wa nchi zingine? na hapa nimeweka mifano michache, bado ipo ya trl na rites ubinafsishaji wa mashirika mengine, nk nk