Top Thinker
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 183
- 125
Lazima achanganyikiwe, uzinduzi wa CDM ulikuwa sio mchezo, nimeona star tv habari huko mwanza Zitto amekula vichwa vya ukweli, wakiona hivyo wanaongea lugha isiyoeleweka...Kupagawa@kuchanganyikiwa jazz band!
Magwanda wanapoona maji yanawazidi kimo!
Ogeleeni, wacheni kupiga mayowe, mtazama.
kwan sumari naye kaongea?
Una haki ya kutomwelewa Mkapa kwa sababu umezoea makamanda badala ya kunadi sera wao huwa wnatukana chama pinzani.Kwa mawazo yako unafikiri hizo ndo huwa sera , pole sana. Very less minded.NAANGALIA TAARIFA YA HABARI ITV HAPA.
NIMESHANGAZWA NA KAULI YA MZEE NKAPA KUANZA KUSEMA KUWA ATAHAKIKISHA ANASIMAMIA MASLAHI YA WANANCHI NA KUWASAIDIA KATIKA SUALA LA UMILIKI WA ARDHI. YAANI ITS LIKE JAMAA NDO ANAJIPIGIA KAMPENI NA SIO KUMNADI BWANA MDOGO SUMARI. Whats the secret behind?
Magwanda wanapoona maji yanawazidi kimo!
Ogeleeni, wacheni kupiga mayowe, mtazama.
. Wanavua magamba tunavaa magwanda. Ya CCM amekuwa mazito. Gwanda unaweza kulifua likatakata mbele ya wa tz, lakini gamba, gamba ukijaribu kulisafisha unalichubua na kulijaza mikwaruzo. ila mkapa kanifurahisha, alikuwa kama ka kijana ka miaka si zaidi ya 35. maana hata matusi kanatoa tu mbele ya wazee kama yeye.Magwanda wanapoona maji yanawazidi kimo!
Ogeleeni, wacheni kupiga mayowe, mtazama.