Aliye msafi awe wa kwanza kumnyoshea mwenzake kidole
Hata kama sio wasafi tunataka tuone upendo wao na nchi hii...
Na sisi wagumu kuwasikiliza wazee tunaona wamepitwa na wakati. Tunafanya tunavyotaka wenyewe sasa maji yako shingoni tunawageukia wao na kuwalaumu kabisa too late! Ngoja yatukute!
Hata kama sio wasafi tunataka tuone upendo wao na nchi hii...
Kukaa Kwao kimya wakati NCHI ipo kwenye mitikisiko, kuacha kukemea mapungufu ya wazi haswa rushwa na ufisadi. Miezi 4 Kabla ya uchaguzi mkuu wananchi hawajui nini kitakuwa namna gani. Come on wazee wetu. Jitokezeni mtoe mwongozo kwa NCHI.
Mimi nadhani haujamuelewa mtoa mada,yeye anasema watoe neno,hapo inaweza kuwa ni ushauri,au maoni yao au chochote kile ili mradi tu neno hilo liwe lina lenga ktk kupata mwelekeo bora kwa taifa.Na kutoa neno hata km ni karipio haina maana kuwa umemnyoshea kidole au umemhukumu km ingalikuwa kwamba mwenye makosa hatakiwi kumkosoa mwingine basi binadamu tusingelikosoana,kwa kuwa duniani hakuna asiye na mapungufu.
Kama wana doa huwezi kusema ni upendo, wacha tung'ang'ane na chadema miaka mitano wakiboronga tunapeleka ACT
Wenyewe sio wasafi hawawezi kumnyoshea kidole mwenzao.
Haah haah mleta mada katoa ushauri mzuri sana.Tangu uchaguzi wa Arumeru mzee Mkapa alinywea baada ya kuingia kwenya 18 za Chadema.Vicent Nyerere alimuumbua mbaya,basi mpaka leo akiona siasa anatamani ardhi ipasuke immeze.Chezea vijana weye!!Mkuu umenena chukua LIKE yang
Haah haah mleta mada katoa ushauri mzuri sana.Tangu uchaguzi wa Arumeru mzee Mkapa alinywea baada ya kuingia kwenya 18 za Chadema.Vicent Nyerere alimuumbua mbaya,basi mpaka leo akiona siasa anatamani ardhi ipasuke immeze.Chezea vijana weye!!