Mtu wa Pwani
Platinum Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 681
mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHadema
mosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961
CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberu
amezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri
ameeleza jinsi walivyokuwa wavivu wa kufanya utafiti ni jinsi gani mashirika yaliobinafishwa yalikuwa kabla ya kubinafsishwa na baada?
na akaonyesha ni jinsi gani wazawa walivyopata sehemu kubwa ya mashirika na hata yale waliopewa wageni walipewa kwa kushare sio moja kwa moja
nondo zaidi unaweza kumsikiliza hapa
Mzee Mkapa afunga kampeni za CCM jimbo la Arumeru mashariki kwa kishindo - YouTube
ccm wameikomboa tanzania 1961?huyo mzush,TANU ndo walioupokea uhuru,CCM wakawaita tena wakoloni kuanzia miaka ya 1990 hadi leo
Sasa bwana Mkapa anazungumzia CCM ipi mwaka 1961? Anyway, wote tume'originate kutoka CCM lakini unapoona Plan A haiendi sawa lazima uwe na Plan B. Kwa sasa CCM plan yao ni kuifilisi hii nchi na kama ukitaka kuikomboa unaonekana ni mjinga basi sawa lakini mtuachie nchi yetu.
kweli TANZANIA nizaidi ya uijuavyo!mzee mkapa unaweza kusimama mbele ya watanzania nakujivuna kuwa sera ya ubinafsishaji Imeleta tija kwa taifa.....je,ubinafsishaji unaomaanisha ni huu wa KIWIRA,NETGROUP{tanesco} nk!makamanda wa chadema msikatishwe tamaa na kauli za watu wabinafsi{ISOMEKE WEZI} kama akina MKAPA eleweni bila sauti zenu nchi hii Ingeuzwa yote kwani sasa Imeshauzwa nusu' huku mtaani sisi wananchi tunaamini 2015 utakuwa mwaka wakuikomboa nchi yetu nakuweka ulinzi wakweli kwa tunu za taifa letu.mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHademamosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberuamezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri