Mbona yeye ajashitakiwa kwa kununua mladi wa Kiwila kwa Mil 70 badala ya makubaliano ya awali ya Mil 700 ingawa Mladi wenyewe ulikuwa unathamani ya Shiling Bilion 70!!!!!!!!!!!!! hapo ni changa la kope tuuuuuuuuuu
kweli wamempania huyu prof!
Mkala hivi Ngelengele ipo Mologolo au Alusha?
Kama vp Prof azae naye tu,amuambie Mkapa we mbona una hii scandal,je uko teyari kuukosa mgodi huu?Mbona yeye ajashitakiwa kwa kununua mladi wa Kiwila kwa Mil 70 badala ya makubaliano ya awali ya Mil 700 ingawa Mladi wenyewe ulikuwa unathamani ya Shiling Bilion 70!!!!!!!!!!!!! hapo ni changa la kope tuuuuuuuuuu
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa anatarajiwa kutinga mahakamani Kisutu, katika kesi inayomkabili Prof Mahalu juu ya manunuzi wa nyumba akiwa balozi nchini Italia. Rais Mkapa atatua Kisutu kutoa ushahidi katika kesi husika.
Kama vp Prof azae naye tu,amuambie Mkapa we mbona una hii scandal,je uko teyari kuukosa mgodi huu?
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa anatarajiwa kutinga mahakamani Kisutu, katika kesi inayomkabili Prof Mahalu juu ya manunuzi wa nyumba akiwa balozi nchini Italia. Rais Mkapa atatua Kisutu kutoa ushahidi katika kesi husika.
Source: Gazeti la Mwanahalisi, Aprili 27, 2011
Mkala hivi Ngelengele ipo Mologolo au Alusha?
Ha ha haaa! Mkuu umeliona eeh! Niliposoma post yake tu nikawa na mashaka kama ID yake ni Mkala au Mkara?!Mkala hivi Ngelengele ipo Mologolo au Alusha?
bakita mko wapi lugha inaharibiwa?????? Siyo ajashtakiwa, bali hajashtakiwambona yeye ajashitakiwa kwa kununua mladi wa kiwila kwa mil 70 badala ya makubaliano ya awali ya mil 700 ingawa mladi wenyewe ulikuwa unathamani ya shiling bilion 70!!!!!!!!!!!!! Hapo ni changa la kope tuuuuuuuuuu
Mkala hivi Ngelengele ipo Mologolo au Alusha?