Hahahahahaaaaaa. Hili ni tatizo kubwa kwa nchi yetu mkuu. Nadiriki kusema bila woga kwamba Tanzania ina matatizo huko iendako maana watu hawana uelewa wa mambo yanavyokwenda. Kitendo cha kuchoka chama na kuwa tayari kuweka jiwe kina kila dalili ya kuonyesha watu hawafikili vyema. Hii ni kwa ajili ya kukosa lishe bora utotoni na hivyo ubongo kudumaa. Haiwezekani watu wasahau mapema kiasi hiki. Kuna tatizo tena kubwa