Teamubwabwa
Senior Member
- Jul 7, 2015
- 172
- 59
Kumbe UKAWA mafuriko sio ya Lowasa ni eti watanzania wameichoka CCM hivyo hata Kama linalogombea ni JIWE litapigiwa kura ili CCM itoke madarakani eti imechokwa.
Ndo maana mgombea wao anazungumza pumba watu wanashangilia. Eti atawaondolea umaskini ndani ya siku 100. Pia kila mwenye Gari na bodaboda wataongezewa mengine. Wanafunzi wote bure mpaka university.
UPUMBAVU NA ULOFA HUU.

Hahahahahaaaaaa. Hili ni tatizo kubwa kwa nchi yetu mkuu. Nadiriki kusema bila woga kwamba Tanzania ina matatizo huko iendako maana watu hawana uelewa wa mambo yanavyokwenda. Kitendo cha kuchoka chama na kuwa tayari kuweka jiwe kina kila dalili ya kuonyesha watu hawafikili vyema. Hii ni kwa ajili ya kukosa lishe bora utotoni na hivyo ubongo kudumaa. Haiwezekani watu wasahau mapema kiasi hiki. Kuna tatizo tena kubwa
Kwa hasira tuliyo nayo, Ukawa hata wangekuweka wewe tunge kuchagua tu.
Mkuu umeweka Topic ili tuchangie, Mimi binafsi nikuulize ni kitu gani kimekufanya utoa maamuzi ya kuyaita pumba yale Mr. Lowassa anayazungumzia kwenye Kampeni? Nijibu hapo ili twende sawa.Kumbe UKAWA mafuriko sio ya Lowasa ni eti watanzania wameichoka CCM hivyo hata Kama linalogombea ni JIWE litapigiwa kura ili CCM itoke madarakani eti imechokwa.
Ndo maana mgombea wao anazungumza pumba watu wanashangilia. Eti atawaondolea umaskini ndani ya siku 100. Pia kila mwenye Gari na bodaboda wataongezewa mengine. Wanafunzi wote bure mpaka university.
UPUMBAVU NA ULOFA HUU.
Hahahahahaaaaaa. Hili ni tatizo kubwa kwa nchi yetu mkuu. Nadiriki kusema bila woga kwamba Tanzania ina matatizo huko iendako maana watu hawana uelewa wa mambo yanavyokwenda. Kitendo cha kuchoka chama na kuwa tayari kuweka jiwe kina kila dalili ya kuonyesha watu hawafikili vyema. Hii ni kwa ajili ya kukosa lishe bora utotoni na hivyo ubongo kudumaa. Haiwezekani watu wasahau mapema kiasi hiki. Kuna tatizo tena kubwa
Tuanzie hapa mkuu. Ni nini kimewafanya watu wazima na akili zao kufikia hatua ya kusema eti ni afadhali wapigie kura jiwe/jeneza/shetani kuliko CCM? Unafikiri wote ni wapumbavu? Ni nini CCM wamefanya mpaka kuibua hasira hizi zisizoelezeka?
Ukiweza kujibu haya maswali basi tutakuwa na mjadala mzuri.
Lowassa amewanyosha na hata asipoupata urais mafisadi wa CCM watafikiria mara mbili mbili kabla hawajachukua lumbesa kwenda kugawana pesa za mboga Mkombozi na Stanbic bank.
Hahahahahaaaaaa. Hili ni tatizo kubwa kwa nchi yetu mkuu. Nadiriki kusema bila woga kwamba Tanzania ina matatizo huko iendako maana watu hawana uelewa wa mambo yanavyokwenda. Kitendo cha kuchoka chama na kuwa tayari kuweka jiwe kina kila dalili ya kuonyesha watu hawafikili vyema. Hii ni kwa ajili ya kukosa lishe bora utotoni na hivyo ubongo kudumaa. Haiwezekani watu wasahau mapema kiasi hiki. Kuna tatizo tena kubwa
Mkuu umeweka Topic ili tuchangie, Mimi binafsi nikuulize ni kitu gani kimekufanya utoa maamuzi ya kuyaita pumba yale Mr. Lowassa anayazungumzia kwenye Kampeni? Nijibu hapo ili twende sawa.
kwa hapa ccm ilipofikia yapaswa kukataliwa kuliko hata shetani.lowasaaaa
Kumbe UKAWA mafuriko sio ya Lowasa ni eti watanzania wameichoka CCM hivyo hata Kama linalogombea ni JIWE litapigiwa kura ili CCM itoke madarakani eti imechokwa.
Ndo maana mgombea wao anazungumza pumba watu wanashangilia. Eti atawaondolea umaskini ndani ya siku 100. Pia kila mwenye Gari na bodaboda wataongezewa mengine. Wanafunzi wote bure mpaka university.
UPUMBAVU NA ULOFA HUU.
Siku 100? Waziri wa fedha nk, bajeti, mmengine ongezea wewe unayajua.
Andika kiswahili tukuelewe mwandiko wako hausomeki