mafimboo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 2,415
- 977
Magufuli amethubutu kugusa pasipoguswa na wanaccm wengi,nauliza aliyebinafisha haya madini ni mkapa mawaziri wote walikuwa chini yake ,mawaziri hawa wote,wanasheria wote waliwezaje kupitisha hii mikataba mibovu bila bwana mkubwa kujua,na kama mkapa hakubariki hii mikataba ya kiutapeli alichukua hatua gani?,kama hakuchukua hatua maanake aliipenda na akaibariki,hivi waziri anaweza akapitisha maslai ya moyo wake bila ruhusa ya bosi wake,magufuli mungu akulindeeeeeee