Benazir Buto
Member
- Sep 30, 2012
- 65
- 8
inasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara wakiruhusu gesi kwenda dar es salaam watajihalalishia umasikini wao kuwa wa kudumu.
amesema wapigane kufa na kupona gesi isivuke mipaka ya mkoa wao
hilo ni swali nalo jamani? mkapa alikuwa mtwara siku chache kabla ya manamtwara kuingia barabarani.wapi, lini...!??
inasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara wakiruhusu gesi kwenda dar es salaam watajihalalishia umasikini wao kuwa wa kudumu.
amesema wapigane kufa na kupona gesi isivuke mipaka ya mkoa wao
inasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara wakiruhusu gesi kwenda dar es salaam watajihalalishia umasikini wao kuwa wa kudumu.
amesema wapigane kufa na kupona gesi isivuke mipaka ya mkoa wao
ndoto ni nini kwani? kama ukiota mambo hutokea basi hili nalo liingizwe kwenye maajabu saba ya duniaMkuu ulikuwa unaota?
inasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara wakiruhusu gesi kwenda dar es salaam watajihalalishia umasikini wao kuwa wa kudumu.
amesema wapigane kufa na kupona gesi isivuke mipaka ya mkoa wao
Habari.
Sisi wana Mtwara tunachohitaji viwanda, power plant, gas processing, mbolea industries, cement ind...nk, halafu baadae wawekezaji wakishakuwa wengi, southern zone itafunguka(infrastructure) na hapo sasa gas iende kokote wanakotaka.
Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini serikali haikupeleka gridi ya taifa south?? Unajua kwa nini kilimo cha pamba kilihamishwa mtwara kwa kudai kuna wadudu wala pamba? hivi ulishawahi kujiuliza mtwara corridor aliyeanzisha mkapa iliishia wapi?? Hivi uliwahi kujiuliza kwanini barabara ya mtwara-dar tangu mwaka 2005 mpaka leo haijaisha?? Kung'olewa kwa reli je una habari nayo??
Kwahiyo wana mtwara si wapuuzi hata kidogo...
hembu soma hii uielewe!!
Tutasikia mengi mwaka huu,mwaka wenyewe bado mchanga