Labda bado roho inamsuta jinsi alivyouza mashirika ya umma,turning point ya Tanzania ilianzia kwake.wenzie wanaofuata wanashindwa hata pa kuanzia matokeo yake wanaanza kutamani kula hata vichache vilivyopo.
Unamaanisha nin mkuu BEN amewaonea huruma watanzania ?
Kwa mtu mwenye akili timamu anafaham fika kuwa MFALME wa offisadi TANZania Ni BEN akiwa Ikulu ndo MADUDU haya yote Ya meanzia huko sema ukweli NA uwazi hukujulikana mfano , MIKATABA Ya madeni , NDEGE yake mwenyewe, MERemeta ,epa , RADA ,Jumba la kifahari S.a kama shukuran kwa kwa kugawa madin bure kwa makaburu ,kugawa Mali Za uma kwa ndugu ze mama Anna mkapa (lemada) hotel kuuza nyumba za umma kwa bei Ya kutupwa
Hayo ni machache kati ya mengi yaliyofanywa na huyu dikteta
Sipati picha kama kipindi cha utawala wa BEN kingeangikia kwenye kizazi cha sasa . Yaan nchi Ingekuwa kama somalia
Hizo nishani zingekuwa zinatolewa kwa kuzingatia vigezo halisi na mchango uliotolewa na walengwa kwa taifa hili ni wazi kuwa Wajane wa Waasisi wa Taifa letu yaani Mama Maria Nyerere na Mama Karume wangepewa nafasi ya kwanza katika kupewa nishani hizo.
Kwa Tanzania Nishani haina maana yoyote hasa ikitolewa na mfumo wa kifisadi au mtu dhaifu, ni kwa kuwa tu wengi hawajui vigezo vya utoaji wa nishani, anayestahili na sifa za anayestahili kuzitoa hizo nishani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.