Mkapa akataa Nishani ya Ikulu!

Mkapa akataa Nishani ya Ikulu!

Aibu sana kwa watanzania, Yaani wote hapo juu hakuna anayejua kuvaa suti.pamoja na kukaa madarakani muda mrefu wote hovyooooo.Angalia misuti yao utadhani zimetundikwa kwenye get ila nyumba duuuuuuu.
 
aibu sana kwa watanzania, Yaani wote hapo juu hakuna anayejua kuvaa suti.pamoja na kukaa madarakani muda mrefu wote hovyooooo.Angalia misuti yao utadhani zimetundikwa kwenye get ila nyumba duuuuuuu

Jf hukosi burudani nimecheka mpaka nimepoteza jino.
 
Labda hakutaarifiwa mapema na au tuzo yenyewe haina pesa.
Lakini pia ya nini wakati pesa za epa hazijarudi?.

Umeona eeeeh mkuu, yule alishaga Chukua Chake Mapema (CCM) arudirudi ikulu kufanya nini. Yani arudi kuvaa hizo cheni shingoni!! nyie vp? Alishapiga hela huyo! EPA
 
Anaitwa Kassim, muuza chipsi wa buguruni alimpiga jambazi mwenye bastola na chepe. Kapewa nishani ya ushupavu

Hiyo kali ................... kumbe kuna nishani za design hiyo!? Mwanzoni, kwa haraka haraka haraka nilifikiri ni Zitto!!
 
pinda hajafunga vifungo vya koti lake kama wafanyavyo maafisa usalama wanaokuwa kazini especially kulinda viongozi

Kwa hiyo kajisahau kwamba yeye si afisa usalama tena na sasa ni PM ?
 
attachment.php


Ni aibu kuwa na kundi kubwa kama hili ambalo limejaa walafi wanaohujumu pesa za walipa kodi. Kulea na kufuga kundi kama hili la Mafisadi kunarudisha nyuma maendeleo ya Watanzania kwa miaka kama 50.
 
Mh..hyo picha ya kwanza bw. Kayanza utafikiri kajiandaa kupigana na Ukawa!!
 
mtoto wa mkulima hajui kuvaa ,mimi bwana JK na Karume wale jamaa ni noma nguo utafikiri zimeshonewa mwilini wakitundika sutisuti kweli cheki huyo jamaa kulia mtumbbo hata suti haikai ,
Tena Pinda anaelekea ni mgomvi sana,mbona picha ya kwanza kakunja ngumi mikono yote miwili kama anataka kupigana..
 
MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUPOKEA NISHANI HIZO HASA KTK KIPINDI HIKI/cha wizi huu mkubwa kwa raha gani?
 
Mkuu OLESAIDIMU ngoja tumezee tu haya mambo haya. Hadi nimemkumbuka comredi Ogah kuna siku tulichafua JF Photos ikabidi ipigwe chini. Wayback when JF was JF kweli, siku hizi tumekua wapita njia.

Ila nimemkubali hajasahau mafunzo. Wanasema "maji hayaachi ubaridi wake, hata yachemke vipi"

Hata kupita kama hivi sio mbaya, si umeona jicho la mwewe limedonoa!!!
Yatabaki kuwa maji tu hata uyagandishe, marejeo ni pale pale!!!
 
Last edited by a moderator:
Leo nimecheka sana.....jf kuna raha zake sometimes..muone pinda kakunja ngumi utadhani anataka kupigana na UKAWA
 
Karibu wote wako poorly dressed

Wengine suit oversized
wengine wamevaa kisela kama Pinda
Pozi za picha hovyoo...

Hovyo hovyoo tu

Kwa kweli Mizengo Pinda anatia aibu...kwanza wote hawaja pendeza...misuti ya kizamaniiii
 
Hivi aliye design carpet akaweka rangi za bendera ya taifa ni sawa? It can only happen in Tanzania
 
mtoto wa mkulima hajui kuvaa ,mimi bwana JK na Karume wale jamaa ni noma nguo utafikiri zimeshonewa mwilini wakitundika sutisuti kweli cheki huyo jamaa kulia mtumbbo hata suti haikai ,

Mtumbo kama kiroba cha mihogo angejivalia dela tu.
 
Back
Top Bottom