Sijui mtoto wa mkulima amesahau kufunga kishikizo/ vishikizo. Sheria ya suti inamtaka kwa suti yake ya vishikizo vitatu kufunga kishikizo cha kati au cha juu na cha kati. Anyway, viongozi wengi naona hili ni tatizo. JK, CS na dogo picha ya pili wao wako poa.
Ahahaha mwenzio hapo ana mawazo kibao, Kafulila na wenzie hawana adabu hata kidogo.Sijui mtoto wa mkulima amesahau kufunga kishikizo/ vishikizo. Sheria ya suti inamtaka kwa suti yake ya vishikizo vitatu kufunga kishikizo cha kati au cha juu na cha kati. Anyway, viongozi wengi naona hili ni tatizo. JK, CS na dogo picha ya pili wao wako poa.
mtoto wa mkulima hajui kuvaa ,mimi bwana JK na Karume wale jamaa ni noma nguo utafikiri zimeshonewa mwilini wakitundika sutisuti kweli cheki huyo jamaa kulia mtumbbo hata suti haikai ,Sijui mtoto wa mkulima amesahau kufunga kishikizo/ vishikizo. Sheria ya suti inamtaka kwa suti yake ya vishikizo vitatu kufunga kishikizo cha kati au cha juu na cha kati. Anyway, viongozi wengi naona hili ni tatizo. JK, CS na dogo picha ya pili wao wako poa.
Hahaa katika picha zote kuna kitu kimenifurahisha. Kuna jamaa kaweka "arms ready" posture. Pamoja na kuwa boss bado anaact kama yuko theater na principal. Relax boss vijana wapo