Mkapa akataa Nishani ya Ikulu!

Mkapa akataa Nishani ya Ikulu!

Sijui mtoto wa mkulima amesahau kufunga kishikizo/ vishikizo. Sheria ya suti inamtaka kwa suti yake ya vishikizo vitatu kufunga kishikizo cha kati au cha juu na cha kati. Anyway, viongozi wengi naona hili ni tatizo. JK, CS na dogo picha ya pili wao wako poa.
 
Haina heshima yoyote kama wanaopata ni kina Kingunge na wenzake
 
Sijui mtoto wa mkulima amesahau kufunga kishikizo/ vishikizo. Sheria ya suti inamtaka kwa suti yake ya vishikizo vitatu kufunga kishikizo cha kati au cha juu na cha kati. Anyway, viongozi wengi naona hili ni tatizo. JK, CS na dogo picha ya pili wao wako poa.

Labda ndo maelekezo aliyopewa na Sheria Ngowi, mana ndiyo anayemvalisha.
 
Amekataa kasemaj? Na anavigezo gani vinavyomtofautisha na hawa hata akatae???
 
Hahaa katika picha zote kuna kitu kimenifurahisha. Kuna jamaa kaweka "arms ready" posture. Pamoja na kuwa boss bado anaact kama yuko theater na principal. Relax boss vijana wapo
 
Binadamu bana kwa kujikweza sasa hilo kapeti hapo chini wamelitandika la nini ili wasichafuke viatu ama halafu hawakawii kutuambia garama zake milioni 50 kwa usafi gani wa mioyo waliokuwa nao hawa viongozi wetu? Nchi yenyewe ndokama hivyo tena tushabinafsishwa wagonjwa wanalala mzungu four kisa hela hamna lakini za kununulia mazulia ya kukanyagia kwa sekunde hela zipo hizi mbwembwe huwezi zikuta Rwanda hii nchi kila kitu chefuuu.
 
Sijui mtoto wa mkulima amesahau kufunga kishikizo/ vishikizo. Sheria ya suti inamtaka kwa suti yake ya vishikizo vitatu kufunga kishikizo cha kati au cha juu na cha kati. Anyway, viongozi wengi naona hili ni tatizo. JK, CS na dogo picha ya pili wao wako poa.
Ahahaha mwenzio hapo ana mawazo kibao, Kafulila na wenzie hawana adabu hata kidogo.
 
Labda hakutaarifiwa mapema na au tuzo yenyewe haina pesa.
Lakini pia ya nini wakati pesa za epa hazijarudi?.
 
Sijui mtoto wa mkulima amesahau kufunga kishikizo/ vishikizo. Sheria ya suti inamtaka kwa suti yake ya vishikizo vitatu kufunga kishikizo cha kati au cha juu na cha kati. Anyway, viongozi wengi naona hili ni tatizo. JK, CS na dogo picha ya pili wao wako poa.
mtoto wa mkulima hajui kuvaa ,mimi bwana JK na Karume wale jamaa ni noma nguo utafikiri zimeshonewa mwilini wakitundika sutisuti kweli cheki huyo jamaa kulia mtumbbo hata suti haikai ,
 
Labda hakutaarifiwa mapema na au tuzo yenyewe haina pesa.
Lakini pia ya nini wakati pesa za epa hazijarudi?. Na kiwira hajairudisha serikalini kama alivyotuongopea yule waziri wa madini aliyefukuzwa kazi?.
 
Hahaa katika picha zote kuna kitu kimenifurahisha. Kuna jamaa kaweka "arms ready" posture. Pamoja na kuwa boss bado anaact kama yuko theater na principal. Relax boss vijana wapo

Ha ha haaa niliona nikaona nimezee kumbe gobore lina shabaha bana!!!
Akivuta usawa wa waist tu mtu kala nakoz!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu OLESAIDIMU ngoja tumezee tu haya mambo haya. Hadi nimemkumbuka comredi Ogah kuna siku tulichafua JF Photos ikabidi ipigwe chini. Wayback when JF was JF kweli, siku hizi tumekua wapita njia.

Ila nimemkubali hajasahau mafunzo. Wanasema "maji hayaachi ubaridi wake, hata yachemke vipi"
 
Last edited by a moderator:
Kuna viongozi wengi nchi hii hata siwajui nimetambua kama watu watano au sita tu kwenye picha zote hizo.
 
Karibu wote wako poorly dressed

Wengine suit oversized
wengine wamevaa kisela kama Pinda
Pozi za picha hovyoo...

Hovyo hovyoo tu
 
pinda hajafunga vifungo vya koti lake kama wafanyavyo maafisa usalama wanaokuwa kazini especially kulinda viongozi
 
Back
Top Bottom