Mkao

Jaman hivi ni kweli JUMA nyosso ni chakula?
 
Last edited by a moderator:
ntilavano najaribu kukujibu lakini naona naletewa msg ile ya kuonyesha invalid topic
 
Last edited by a moderator:
Hebu mshana jr niwekee picha ya makamu wa Rais wa JMT pamoja na ya yule mtangazaji wa BBc Zuhra Yunus.

Hawa wanawake wawili nawakubali sana. Ndio hvyo tena World is not fair
 
Last edited by a moderator:
Hebu mshana jr niwekee picha ya makamu wa Rais wa JMT pamoja na ya yule mtangazaji wa BBc Zuhra Yunus.

Hawa wanawake wawili nawakubali sana. Ndio hvyo tena World is not fair
Mgirik una lako jambo si bure
 
Last edited by a moderator:
Mgirik una lako jambo si bure

hapana mkuu nina nia njema kabisa hebu niwekee picha ya mama makamu wa raisi mama mpendwa, mama aliye na jicho hatari dah! Huyu mama namkubali sana.

Na kale kabinti ka zuhra yunusi hebu fanya namna gani iwepo picha yake. Maana ww ndio umebakia kwa upande wa picha baada ya Tyta kupotelea kusikojulikana
 
Last edited by a moderator:

nshajua ugonjwa wako lakini si mbaya nikikupa bonus
 
Last edited by a moderator:
View attachment 310588View attachment 310589 nshajua ugonjwa wako lakini si mbaya nikikupa bonus View attachment 310590

dah! Inshaalah! Moyo umelipuka lipuu baada ya kuona pozi la mama mpendwa makamu wa rais.
Hakika Mungu alitumia uhodari wake na umakini kabisa ktk kumuumba huyu mheshimiwa mama makamu wa rais hasa kwenye mboni ni hatar.
Heko mama salamu yangu ikufikie. Nakukubali sana mheshimiwa mama.

Nikija upande wa kabinti ka kizenji kanako tikisa anga za dunia haka kabint hakika kananimaliza nguvu kabisa.

Hasa kwenye sauti yake,midomo yake mamaaaa! Nafwa kabisa.

Asante sana mshana jr kwa kunipa picha hizi. Ila kama unayo nyingne ya haka kabint Zuhra Yunus inayoonekana vzr kama ilivyo wa mama basi naomba uiweke nataka niziweke ukutan kabisa ili siku nikikwaruzana na mama nggina ntakuwa naziangalia hizi picha nadhan hasira itakuwa inaisha kabisa. Huhuhuuuu
 
Last edited by a moderator:

Mama yangu.....!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ww sio rizki sina shaka na hili unajiita mbishi wkt unashikishwa ???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…