Yule TIDO MHANDO aliyekuwa RTD na baadaye akaenda BBC akawa anaweza kuendesha mahojiano ya mambo mbali mbali kwa umahiri mkubwa nadhani sio huyu wa TBC1. Huyu wa sasa ni hovyo kabisa maana taaluma kaiweka kapuni na badala yake anatekeleza matakwa ya aliyemteua. Ole wake CCM iangukie pua hapo tarehe 31 octoba 2010. YEYE naye lazima ang'olewa, hafai kabisaaa