Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
Wewe utakua mgonjwa.Ushirikina ni kusema Dawa umepewa na mungu na lazima wewe mwenyewe utoe hiyo dawa ndio watu wapone wakati mungu ndio mponyaji na anaweza kumponya mtu bila ya kunywa hata hiyo dawa. Nadhani nimefafanua hoja ya Arafat.
Nani kakwambia tiba ya Loliondo ni ushirikina, kama hujui mambo ni heri uulize kuliko kukurupuka na kuonekana zuzu:angry:Lukuvi anaamini katika Ushirikina ndio.
Watz tuacheni lawama na kubatizana! Udhibitisho upo wa kumwita babu "mshirikina"? Kama watu wanapona, basi mwachen babu akae kama alivyo sio kumkatia majina lukuki. Mbona waganga wengine wamekua wakizuga kuwa wamegundua dawa na hakuna ushuhuda wa hata mmoja alepona? Babu yetu watu wanarudi na wamepona kabisa, hakuna kisukari wala pumu tena, vyote kwisha kabisa. Lets call a spade spade, not a big spoon. Hata neema ikija tunalalama?
wewe utakua umetumwa,wanaojua magonjwa hawasemi,,au haujawai ugua au kuuguliwa ndo mana
Baada ya kupata tiba mnaanza kumwita mshirikina, acheni hizo. Waacheni na wengine wakapate tiba msiwa confyuzi.:smash:Ushirikina ni kusema Dawa umepewa na mungu na lazima wewe mwenyewe utoe hiyo dawa ndio watu wapone wakati mungu ndio mponyaji na anaweza kumponya mtu bila ya kunywa hata hiyo dawa. Nadhani nimefafanua hoja ya Arafat.
Ushirikina ni kusema Dawa umepewa na mungu na lazima wewe mwenyewe utoe hiyo dawa ndio watu wapone wakati mungu ndio mponyaji na anaweza kumponya mtu bila ya kunywa hata hiyo dawa. Nadhani nimefafanua hoja ya Arafat.
Baada ya kupata tiba mnaanza kumwita mshirikina, acheni hizo. Waacheni na wengine wakapate tiba msiwa confyuzi.:smash:Ushirikina ni kusema Dawa umepewa na mungu na lazima wewe mwenyewe utoe hiyo dawa ndio watu wapone wakati mungu ndio mponyaji na anaweza kumponya mtu bila ya kunywa hata hiyo dawa. Nadhani nimefafanua hoja ya Arafat.
Babu wa Loliondo ni mshirikina kama shehe Yahya.
.......Kama ni hivyo basi, mbona yeye hafanyi miujiza hiyo?
Si vyema kuleta mzaha dhidi ya utendaji kazi wa MUNGU, na wala nguvu na utendaji wake havichunguziki kwa akili za Kibinadamu!
So, please do not engage in a clever meeting.......
Babu ana ugonjwa wa akili anahitaji huduma ya mirembe.
wewe utakua umetumwa,wanaojua magonjwa hawasemi,,au haujawai ugua au kuuguliwa ndo mana