Mkali DJ JD 'John Dillinga' is Back............

Alilewa sifa huyoooo!!!
Angejifunza ma DJ wenzake Euro na US wanavyomake bingo! Nadhani maujanja na elimu ni sifuri hapooo

John hakuwai kulewa sifa ata siku moja..kutomskia kwako mda mrefu usiumbe maneno,alikuwa na project za ukweli nje kabisa ya mziki...na nna uhakika kwa sasa ndio Dj mwenye mkwanja mrefu zaidi hapa EastAfrica..
Yani jamaa ni level nyingine kabisa usipime.
Na kuhusu shule yake kwa kweli ni ndogo sana na ndio maana ata alipoacha kuendelea na shule enzi izo Manzese Morogoro,akakimbilia kwa baba yake(mkimbizi) south africa kila mtu alimpuuza lakini hapo ndipo exposure yake inayompa maisha alianza kuijenga..
 
Jamaa alipotelea wapi, au ndo kufulia kwenyewe huko achelewi kusema nilikuwa states
 
Kuna mambo nakamilisha tu then sitokosa pale Synergy lounge! Naamini nitaruka kwanja kama enzi zile!
 

Acha UONGO wewe Unakurupuka tuu Hii co face book,Eti "Nishawai kufika mara mbili" huoni hata haya? Umefika mara mbili Osterbay na Mikocheni hata hapafanani! Umefika wapi? Synergy ipo Mikocheni? Mmetumwa kufanya promo humu Muwe mnauliza vzr kabla ya kuandika sio Mnakurupuka tuu na hapa sio Jukwaa la matangazo
 


Kwanza kalikurupuka na kusema eti kanamkumbuka Sos B aliyekuwa katika kundi la DPT.
kisha kuna watu wakakashushua na data zake ushuzi kakanyamaza.
hivi vitoto sijui hata wapi vimetokea.
Na viko vingi humu ile mbaya.
 
Alishikishwa adabu na Mully B wa Clouds FM
kwenye mashindano ya ma DJ.
Tangu hapo hajihusishi tena na maswala ya
muziki, kabaki kujichubua tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…