Mkakati wa uendelezaj maeneo yaliyoko pembezoni mwa jiji la DSM una mapungufu makubwa

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
Wana forum hamjambo?

Nilipote kidogo nilikuwa naandika ripoti kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Kuendeleza Maeneo yaliyoko Pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam. Kama mtakavyokumbuka maeneo ya Kibamba, Kigambani, Bunju, Kongowe, Pugu Kajiungeni n.k Wizara ya Ardhi inadai inatekeleza Mkakati wa kuyaendeleza. Lakini katika utafiti tumebaini kuwa Mkakati huo ni wa kuwafanya wananchi wenye ardhi katika maeneo hayo kuwa maskini zaidi badala ya kuendelea kama ilivyokusudiwa.

Mathalani wakati Wizara ya Ardhi iliipa fida kwa kila mita moj amraba kwa Shilingi 2,000/= yenyewe iliuza eneo hili hilo kwa Shilingi 30,000/= hivyo kutengeneza faida ya 1500% wakati wananchi waliohamishwa wakienda kuisha bila umeme, maji safi n.k

Someni mpate uhondo
 
Ripoti yenyewe iko wapi mkuu.??
 
Ripoti yenyewe iko wapi mkuu.??
Kweli mkuu ripoti hatujaiona.
Ila kuwa ujumla nafikiri zoezi zima la kuendeleza maeneo pembezoni mwa mji ama halikuwa na maandalizi mazuri au kuna ubabaishaji fulani fulani. Watu wanauziwa viwanja, wakati huo wanaoama hawajamalizana nao basi wapya wanavamia. Mfano ni eneo la kanisa katoliki kibamba ambapo kila siku watu wanakuja wakidai kuvunja wakati wizara bado haijakamilisha taratibu za kuwahamisha wahusika (kanisa). Ni biashara fulani ya kuviziana.
 
Wana forum hamjambo?

Nilipote kidogo nilikuwa naandika ripoti kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Kuendeleza Maeneo yaliyoko Pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam. Kama mtakavyokumbuka maeneo ya Kibamba, Kigambani, Bunju, Kongowe, Pugu Kajiungeni n.k Wizara ya Ardhi inadai inatekeleza Mkakati wa kuyaendeleza. Lakini katika utafiti tumebaini kuwa Mkakati huo ni wa kuwafanya wananchi wenye ardhi katika maeneo hayo kuwa maskini zaidi badala ya kuendelea kama ilivyokusudiwa.

Mathalani wakati Wizara ya Ardhi iliipa fida kwa kila mita moj amraba kwa Shilingi 2,000/= yenyewe iliuza eneo hili hilo kwa Shilingi 30,000/= hivyo kutengeneza faida ya 1500% wakati wananchi waliohamishwa wakienda kuisha bila umeme, maji safi n.k

Someni mpate uhondo

Tusome wapi sasa?
 
Washikaji tokea jana najaribu kuupload hiyo ripoti inanigomea, Nitumie njia gani???
 
Yeboyebo nimekutumia by email ili uifanyie uploading. Asante
 
Nakushukuru sana kwa msaada wako. nategemea sasa wana foorum wataweza kisoma ripoti hiyo.
 
Samanahani sana wanaboard wote kwa usambufu ripoti sasa iko tayari, shukrani ziende kwa Yeboyebo. Ripoti inahusu mapaungufu katika utekeleaaji wa makakati husika kiasi cha kuwatia umaskini wananchi katika maeneo hayo kwa kuanyanganya ardhi yao ambayo baadaye huuzwa na Wizara ya Ardhi kwa bei kubwa sana.
 
very sad...Wengi wameshindwa kununua viwanja walivyopewa...Kiasi walicholipwa hakiwezi hata kulipa gharama ya kiwanja kimoja. Wengine walioapata viwanja 2 imebidi wauze Kimoja, ili apate pesa za kulipia kiwanja kingine..

.Wananchi walipwe HAKI ZAO...!!!
 
Hongereni sana kwa kazi nzuri , nimeisoma imenielimisha zaidi. Ila kwa wale ambao hawakupokea fidia kabisa na viwanja vyao vimeendelezwa Je wafanye je? Kwani mpango uliopo nasikia ni kuviuza kwa bei ya soko, Twaomba ushauri tafadhali.
 
Back
Top Bottom