Umeandika na kupotea!!!
Shamba lak/lenu halina dhahabu mura zingekuwepo usingeweza kuwazuia watu kuchimba, kisheria huna huo uwezo.
1. Kama zahabu nazan n za kawaida tu labda baadae zitalipuka. Fanya mpango upate leseni kama unataka uchimbe pekeako.
2. Mwekezaji huwezi kupata kirahisi, hadi pawake hasa watakufata wenyewe ukiwa na leseni yako. Dhahabu iliyopo hapo ni vikore ama pure gold hizo hua zimekaa mbali mbali so kupata mwekezaj ni kazi.
3. Huko kwenu sijui mnafanyaje ila kama unataka mashine/kipimo bora ununue yako maana hizo mashine hua hazilipwi kesh bali zinakua na asilima 10/20/30 au hata pasu kutegemeana na makubaliano.
Mfano ukimpata mtu aje kua anakupimia ,(ku dtect gold),halafu mkapata milion moja, huyo mpimaji atachukua laki moja au mbili au tatu. Kipimo kinauzwa kidogo kipya kinauzws mmilion mbili hadi tatu (fisher na gold monstor). Wakati mashine/kipmo kikubwa huuzwa (gp 5000 million 8 na gp6000 milion16 hadi 20). Fisher na monsta used utapata had kwa 1m. Ukiwa na chako n vzur utafanya kaz bila presha..
4. Ukipata kipmo/mashne, ruhusu watu wachimbe. Dhahabu ikipatikana mgao unakua hv,
WEWE (SHAMBA) 30%
KIPIMO 20%
WACHIMBAJI 50%
Kama kipimo ni chako utakua unapata50% na hapo mpimaji uwe wewe mwenyewe. Kama utaajiri mpimaji maana yake utakua unamlipa 1% ya % ya kipimo yaani mtakua mnaigawana pasu hela ya kipimo.
5. Nunua mzani /scale ndogo ya kupimia uzito wa dhahabu halafu tafta mtaji hata wa milion1 ili wewe mwenyw ndo uwe unaznunua dhahabu na kwenda kuziuza utapata faida maradufu.
NB niliyokuambia yote nayafanya.