Ndugu wanajamvi!Mbunge viti maalum (CCM)amebainika akitumia mbinu chafu ya kutumia idara ya maendeleo ya jamii moshi vijiji kupanga mkakati wa kugawa vyombo vya ndani kwa wapiga kura kama vikombe,bakuli,sahani nk kwa wapiga kura kwa sharti la kuchagua CCM kuanzia ngazi ya shina,mtaa,kata na ubunge.
Huku ni kuwadhalilisha watanzania na kwa pamoja tupinge udhalilishaji huu!
Huku ni kuwadhalilisha watanzania na kwa pamoja tupinge udhalilishaji huu!