Mkakati wa CHADEMA kuiangusha CCM!

Jamani tuache kuchekeshana, yaani Chadema iiangushe CCM wakati Chadema ilishakufa tayari?
Mazungumzo ya Alfulelah Ulelah. Msomi mmoja alimwua mfalme akiwa tayari keshakatwa kichwa. On a serious note hii mbinu ni nzuri sana kwa long term results hasa kama kuna suicidal tendencies huko kulikonoga. Natafakari tu. Kwenye haya masuala mimi ni mlei kabisaa!
 
Nawaza kwa sauti kubwa naona kuna point flani, but inaweza isiwe ni mkakati wa CDM direct but indirect .

Siku ikijafika wakianza kukkimbia kutoka huko CCM ndio mwisho wa CCM utakuwa .

Mleta mada your right to some extent
Exactly remember the fall of USSR na Samson and delila
 
Umenena vema,Mungu alimweka musa kwa farao strategically it's known kuelekea uchaguz baada ya bunge kuvunjwa ccm itapasuka vipande viwili tena vyenye nguvu sawa na hao waliohamia ccm hawatasimama na cm tena na utakuwa mwisho wake,
KANU waliwai tumia huu mkakati Wa ccm kwa kuwachukuwa watu kama laila na kuwapa nafasi nyeti but Leo hii KANU ni kama UDP, tadea nk
 
Hakunaga upinzani Tanzania na Haujawai kuwepo
 


Sawa ila si kwa chama mfu kama Chadema, kwanza viongozi tu hawana. Kule kila mtu anajifanyia alitakalo.
 
Wanaccm wengi wanafurahia wapinzani kuhamia ccm na kupewa nyadhifa mbalimbali huku hawajui mkakati Wa cdm ni kupandikiza mamluki wao kila kona ndani ya ccm, soon Bomu linalipuka, viva cdm rip ccm
Uwezo huo Chadema hawana ila CCM waliwatuma watu huko mkawapa hadi nafasi ya kugombea Urais wa nchi bt soon wanarudi kundini kukiimarisha chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…