chikanu chikali
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 1,146
- 1,835
Hiyo kauli ya nyumbani kumenoga, ina nifurahisha sana!! Najiuliza hivi lini nyumbani kulibuma?Acha kujifariji mkuu.
Wenye chama wanasema nyumbani kumenoga.
Sio kujifariji bali ni ukweli 100Acha kujifariji mkuu.
Wenye chama wanasema nyumbani kumenoga.
Hakuna kufeli tunza maneno 2020Kama ndio mkakati wamefeli...kupoteza majimbo mwaka 1 kabla ya uchaguzi..ni uzembe na kushindwa kulikoshindikana.
Hiyo mbinu ni hatar wakat utaonesha ukweliSi kweli
Ccm ipo kwenye climax soon dénouementramli chonganishi inaonesha Kuna mbunge mwingine atasepa soon
CDM ilitisha 2015..2020 matokeo yanajulikanaa..Hakuna kufeli tunza maneno 2020
Wait 2020 maajabuCDM ilitisha 2015..2020 matokeo yanajulikanaa..
Si ngumu mbona normal tuMmmhh hii ngumu kumeza aiseee
Yani hila zinazofanywa na haya majinga zinajulikana.Hapa bunduki tu ndo hamna.Yanatakiwa Yale Shaba haya mpaka yaeleweCcm wanafikiri wanaua upinzani,kumbe ccm ndo inajifiaa hvyoo..
Ccm yenyw ishapasuka,wananchi wamezjua drama za sirikali,. Raia wanahasira mioyoni sku bomu likilipuka,tz itakuwa haikaliki.....
Unajitekenya. Kwa lengo la kuwaonea wivu. Rudi Nyumbani kumenogaWanaccm wengi wanafurahia wapinzani kuhamia ccm na kupewa nyadhifa mbalimbali huku hawajui mkakati Wa cdm ni kupandikiza mamluki wao kila kona ndani ya ccm, soon Bomu linalipuka, viva cdm rip ccm