Mkakati wa CCM kudhohofisha UKAWA umevuja

kayumba yumba

Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
93
Reaction score
182
UKAWA WAZIDI KUIKABA CCM, MIPANGO YA CCM NJE.

Katika kile ambacho kinaelezwa ni kubanwa kwa CCM, chama hicho kikongwe sasa kimekuwa kikijaribu kila mbinu kujinasua katika kibano cha UKAWA.

Kuna taarifa kwamba CCM inawanunua baadhi ya viongozi wa UKAWA kwa kuwarubuni na kuwapa propaganda za uongo kuhusu UKAWA. Huku kikiwa kinayatumia mapungufu yalipo ndani ya UKAWA.

Moja ya propaganda ni kuhusu taarifa za kwamba Edward Lowassa amewanunua viongozi wa UKAWA kwa maslahi binafsi.

Taarifa hizi zinaeleza kwamba kuna viongozi watajitoa kutoka miongoni mwa UKAWA na kudai kwamba viongozi wa juu hawawatendei haki. Tayari hilo limefanyika NCCR Mageuzi ingawa linaonekana halina nguvu.

Mtoa taarifa kutoka ndani ya CCM katika timu ya kampeni anayemuunga mkono Lowassa anasema,''huu mkakati ni kama utashindikana kwa sababu ukiangalia wananchi tayari wameshaamua''. Mtoa taarifa wa habari hizi ni kiongozi mwandamizi wa CCM ambaye huzunguka na mgombea urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli na hakutaka kutajwa jina lake kuhofia usalama wake.

Tayari baadhi ya viongozi wa NCCR Mageuzi wamejiondoa kutoka miongoni mwa UKAWA, kwa madai kwamba, mwenyekiti wa chama hicho hawasikilizi. Mtoa taarifa kutoka ndani ya CCM anasema, ''suala la NCCR Mageuzi linahitaji busara sana, tayari walishakaa na wakaamua kuhusu majimbo leo wanajitokeza walikuwa wapi?'' akongeza, ''Hii ni kuwaumiza wananchi ambao wapo tayari kwa ajili ya mabadiliko''. Huku akiongea kwa kujiamini anaongeza, ''mimi niko huku(yaani CCM) kwa sababu nahofia usalama wangu ila namuunga mkono Lowassa na wananchi walio wengi''.Akaongeza kwamba mbinu za Lowassa zinabadilika sana na hatabiriki ndiyo maana CCM wanashindwa na kila wanapojaribu inajulikana. Huku akisisitiza kwa njia ya simu, alisema, hakuna sababu ya wananchi na wapenda mabadiliko kukata tamaa', unapoona haya na kusikia haya ujue mwisho wa adui unakaribia''. Akaongeza kwamba ni muhimu sana kwa wakati kama huu kuwa wamoja.

Chama cha NCCR Mageuzi kimetoa tamko kutotambua waliojiengua kwa kusema kwamba hawakufuata taraibu ndani ya chama na kwamba wanatumika, na kimewataka wananchi kujitokeza kumpigia kura Edward Lowassa.

Aidha kutakuwa na umoja utakao undwa kutokana na wanaojiengua na umoja huo utakaoitwa UKAWA utakuwa na baadhi ya wanaUKAWA waliojiengua kutoka UKAWA na utahamasisha ili kuungwa mkono na wananchi huku ukiratibiwa kwa karibu na vituo vya habari vya STARTV na TBC. Miongoni mwa watu watakao unga mkono umoja huo ni Dr Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA. Maneno ya kimkakati ni Mbeya, Dar Es Salaam na mengine watakayoona yanafaa.

Anaongeza, ''tafadhi nyinyi waandishi waambieni wananchi na wapenda mabadiliko wasitetereke kabisa, haya yote yatapita na ndiyo misuko suko ya mabadiliko''. ''Sasa hivi wamemwachia January Makamba, ndiyo kila kitu sasa unaona tunavyoyumba''(wao CCM), alisema.

Iwapo hilo litashindikana wataunda umoja wa vyama vingine vya upinzani vikihusisha ACT Wazalendo, UDP na vyama vingine ikiwa ni mkakati wa kuiokoa CCM, kwa kugawa kura na kuwachanganya wananchi ili wakate tamaa ya kupiga kura.

Mlinzi mmoja wa timu ya Magufuli aliyejulikana kwa jina moja la Juma amemwambia mwandishi wa habari hizi kwamba hali ya chama hicho kikongwe ni mbaya na hasa katika masuala ya kifedha na kusababisha kuomba msaada kwa marafiki zake wa nje(hakutaja ni nchi gani).''Nakuambia hivi hatushindi waandishi pengine mmeshajua hili kwamba hatushindi, tunalazimisha tu''. Alisema kwamba wingi wa watu katika mikutano ya CCM ni kwakuwa wanasomba watu na Malori na kuwapa hongo(baadhi) kuanzia shilingi 5,000-10,000.
 
Wengi watavaa nguo za kijani lakini watampigia kura Lowasa
 
Mtoa taarifa kutoka ndani ya CCM xxx! ''.

Mkuu Asante Kwa Taarifa, Ila Majasusi Wetu Wa Ukawa Wako Kazini 24/7 Nadhani Umesahau Ule Msema Wa Mithali 25:10,Kitabu Cha Nabii Suleiman "huwezi Kuzuia Mafuriko Kwa mkono! wala kuzuia wana wa israel kufika kaanan nchi ya ahadi! #mabadiliko!
 
kuchanganyikiwa kubaya sana, mtu anahofia maisha yake wakati huohuo akiongea kwa simu, kazi kwelikweli. mleta maada hivi unafikiri wa weza kumuongopea nani?

Kwani ni mara yako ya kwanza kusikia mtoa taarifa fulani hapendi jina lake litoke gazetini kwa sababu yeyote ile ikiwapo ya usalama?

Nafikiri unajidanganya mwenyewe, wengine wameshamwelewa kiatmbo sana
 
Wengi watavaa nguo za kijani lakini watampigia kura Lowasa

Monduli viongozi wa chadema mmewafanya nn!? Na kwenye mikutano ya chadema tunaendaga kumshuhudia fisadi anaye jinadi kuwa anataka nchi ila ndani yetu ni ccm
 
Kwani ni mara yako ya kwanza kusikia mtoa taarifa fulani hapendi jina lake litoke gazetini kwa sababu yeyote ile ikiwapo ya usalama?

Nafikiri unajidanganya mwenyewe, wengine wameshamwelewa kiatmbo sana

habari yako? kumbe gazeti nalo linatumia mawimbi ya sauti, sikuwahi kulijua hili!
 
kuchanganyikiwa kubaya sana, mtu anahofia maisha yake wakati huohuo akiongea kwa simu, kazi kwelikweli. mleta maada hivi unafikiri wa weza kumuongopea nani?

Yap, hapo kwenye simu ndipo pameleta ukakasi....
 
UKAWA WAZIDI KUIKABA CCM, MIPANGO YA CCM NJE.

Katika kile ambacho kinaelezwa ni kubanwa kwa CCM, chama hicho kikongwe sasa kimekuwa kikijaribu kila mbinu kujinasua katika kibano cha UKAWA.

Kuna taarifa kwamba CCM inawanunua baadhi ya viongozi wa UKAWA kwa kuwarubuni na kuwapa propaganda za uongo kuhusu UKAWA. Huku kikiwa kinayatumia mapungufu yalipo ndani ya UKAWA.

Moja ya propaganda ni kuhusu taarifa za kwamba Edward Lowassa amewanunua viongozi wa UKAWA kwa maslahi binafsi.

Taarifa hizi zinaeleza kwamba kuna viongozi watajitoa kutoka miongoni mwa UKAWA na kudai kwamba viongozi wa juu hawawatendei haki. Tayari hilo limefanyika NCCR Mageuzi ingawa linaonekana halina nguvu.

Mtoa taarifa kutoka ndani ya CCM katika timu ya kampeni anayemuunga mkono Lowassa anasema,''huu mkakati ni kama utashindikana kwa sababu ukiangalia wananchi tayari wameshaamua''. Mtoa taarifa wa habari hizi ni kiongozi mwandamizi wa CCM ambaye huzunguka na mgombea urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli na hakutaka kutajwa jina lake kuhofia usalama wake.

Tayari baadhi ya viongozi wa NCCR Mageuzi wamejiondoa kutoka miongoni mwa UKAWA, kwa madai kwamba, mwenyekiti wa chama hicho hawasikilizi. Mtoa taarifa kutoka ndani ya CCM anasema, ''suala la NCCR Mageuzi linahitaji busara sana, tayari walishakaa na wakaamua kuhusu majimbo leo wanajitokeza walikuwa wapi?'' akongeza, ''Hii ni kuwaumiza wananchi ambao wapo tayari kwa ajili ya mabadiliko''. Huku akiongea kwa kujiamini anaongeza, ''mimi niko huku(yaani CCM) kwa sababu nahofia usalama wangu ila namuunga mkono Lowassa na wananchi walio wengi''.Akaongeza kwamba mbinu za Lowassa zinabadilika sana na hatabiriki ndiyo maana CCM wanashindwa na kila wanapojaribu inajulikana. Huku akisisitiza kwa njia ya simu, alisema, hakuna sababu ya wananchi na wapenda mabadiliko kukata tamaa', unapoona haya na kusikia haya ujue mwisho wa adui unakaribia''. Akaongeza kwamba ni muhimu sana kwa wakati kama huu kuwa wamoja.

Chama cha NCCR Mageuzi kimetoa tamko kutotambua waliojiengua kwa kusema kwamba hawakufuata taraibu ndani ya chama na kwamba wanatumika, na kimewataka wananchi kujitokeza kumpigia kura Edward Lowassa.

Aidha kutakuwa na umoja utakao undwa kutokana na wanaojiengua na umoja huo utakaoitwa UKAWA utakuwa na baadhi ya wanaUKAWA waliojiengua kutoka UKAWA na utahamasisha ili kuungwa mkono na wananchi huku ukiratibiwa kwa karibu na vituo vya habari vya STARTV na TBC. Miongoni mwa watu watakao unga mkono umoja huo ni Dr Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA. Maneno ya kimkakati ni Mbeya, Dar Es Salaam na mengine watakayoona yanafaa.

Anaongeza, ''tafadhi nyinyi waandishi waambieni wananchi na wapenda mabadiliko wasitetereke kabisa, haya yote yatapita na ndiyo misuko suko ya mabadiliko''. ''Sasa hivi wamemwachia January Makamba, ndiyo kila kitu sasa unaona tunavyoyumba''(wao CCM), alisema.

Iwapo hilo litashindikana wataunda umoja wa vyama vingine vya upinzani vikihusisha ACT Wazalendo, UDP na vyama vingine ikiwa ni mkakati wa kuiokoa CCM, kwa kugawa kura na kuwachanganya wananchi ili wakate tamaa ya kupiga kura.

Mlinzi mmoja wa timu ya Magufuli aliyejulikana kwa jina moja la Juma amemwambia mwandishi wa habari hizi kwamba hali ya chama hicho kikongwe ni mbaya na hasa katika masuala ya kifedha na kusababisha kuomba msaada kwa marafiki zake wa nje(hakutaja ni nchi gani).''Nakuambia hivi hatushindi waandishi pengine mmeshajua hili kwamba hatushindi, tunalazimisha tu''. Alisema kwamba wingi wa watu katika mikutano ya CCM ni kwakuwa wanasomba watu na Malori na kuwapa hongo(baadhi) kuanzia shilingi 5,000-10,000.

Safi sana, tunataka watu kama ww wanatuletea habari za uhakika, ukawa tuweze kujipanga kimkakati. Hope viongozi wa ukawa wamepata hiyo
 
Wengi watavaa nguo za kijani lakini watampigia kura Lowasa

Na kweli, kwenye mikutano zinaonekana kijani na njano kibao, ila ukija street, huoni hata moja. Sijui huwa wanaacha kwenye maroli?
 
Haya maroli ya ccm watu wengi wamedanganyika nayo, wakimaliza fiesta magufuri atapewa tuzo ya msanii bora wa kucheZA na mwigizaji bora wa kukopi na kupaste
 
Back
Top Bottom