Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Nov 14, 2014 #1 Wanafunzi wameahirisha masomo na kwenda kuwachotea walimu maji, hii ni moja ya shule mkoani Iringa...
Wanafunzi wameahirisha masomo na kwenda kuwachotea walimu maji, hii ni moja ya shule mkoani Iringa...
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Nov 14, 2014 #2 CCM Hoyeeeeeee!! Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti. Wakati hayo yakijiri cheaman anatibiwa busha kwa Obama.
CCM Hoyeeeeeee!! Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti. Wakati hayo yakijiri cheaman anatibiwa busha kwa Obama.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,686 Nov 14, 2014 #3 Haya mambo yapo toka zamani
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,453 Reaction score 10,059 Nov 14, 2014 #4 kuna hata mbunge wa baadae hapo?
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,683 Nov 14, 2014 #5 Inasikitisha sana watanzania kutojua BRN ni nini na kutumika na watendaji wabovu wa serikali wanaobanwa na BRN kuchafua BRN Anyway, nilishasoma humu kuwa upumbavu hauna ujazo BRN is not a micromanagement tool wala planner wa mipango ya serikali Tutabaki maskini kwa kutumika na watendaji wabovu wa serikali wasipenda BRN
Inasikitisha sana watanzania kutojua BRN ni nini na kutumika na watendaji wabovu wa serikali wanaobanwa na BRN kuchafua BRN Anyway, nilishasoma humu kuwa upumbavu hauna ujazo BRN is not a micromanagement tool wala planner wa mipango ya serikali Tutabaki maskini kwa kutumika na watendaji wabovu wa serikali wasipenda BRN
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 14, 2014 #6 Kweli hapo akili itafanya kazi kama ipasavyo?! Jibu = haiwezekani
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,101 Reaction score 127,850 Nov 14, 2014 #7 Nimeshafanya sana hizo kazi....