Mkakati kunusuru taifa la Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati kunusuru taifa la Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Liganga, Jul 25, 2011.

 1. Liganga

  Liganga Senior Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 165
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mgao wa umeme unaolikumba taifa hili ni adui yetu sasa,

  hadha zimekua ni nyingi. Uchumi unarudi nyuma, maisha ya kifamilia

  nayo yanazidi kuwa ya gharama maana mafuta ya taaa ndio utoa nishati

  giza linapoingia na mchana wakati wa mapishi.

  Baa hili la umeme kwa wale wajasiliamali wenzangu watakubaliana na mi limeupunguza

  na linauwa uwezo wetu. Pia makampuni makubwa nayo yanaingia gharama sana katika uzalishaji.

  Historia inaonesha kuwa mabadiliko utokea pale wananchi wanapokua na hoja/suala linalowagusa wote,

  hii hutoa fursa ya wao kuunganika bila kujali rangi, uwezo, cheo na hata itikadi za kichama na kidini.

  Tazama, Misri, Tunisia, Yemen na hata Syria.

  Huu ni wakati wa kuchukua hatua KALI sana katika kulinusuru taifa.

  Wakati kama huu ata tukiandamana hakuna atakaye piga bomu la machozi au risasi

  maana hata hao askari umeme unawaathili, si wanajeshi wala polisi wote ni giza sasa.

  Tukumbuke ata kama ni amri, mtoa amri yeye kwake anajenereta kuubwa linlojazwa mafuta kwa

  kodi ya mtanzania.

  Hii ni fursa kwa kufanya economic boycot(kususia uzalishaji) na maandamano kila kona pia

  kufanya kama kule Tunduma au Ufaransa, magari nayo yaandamane.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  naunga mkono, sababu ya kuigomea hii serikali ipo wazi hata tutakapogoma serikali haina pa kujinusuru kutokana na uzembe mkubwa inoufanya, kwani badala ya kufanya kazi, ccm na serikali yake inapanga hila ghilba na mikakati haramu aendelee kuwa madarakani, naendelea kuunga mkono tuifurusheeeee hii ccm.
   
 3. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni wazo zuri, mi nikiwa mwana mazingira tatizo la umeme linapelekea kupanda kwa gharama za nshati mbadala kama mafuta:Disel, Kerosine petron as well as gas due to increase in demand ambapo zinapelekea watu kutafuta nishati mbadala ambayo ni ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa! Hivyo huhatarisha mazingira na kupelekea jangwa! Yatupasa kuchukua hatua!
   
Loading...