Mkakati kabambe wa Media coverage ya UKAWA

emmanuel1976

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
301
Reaction score
80
Habari Za Jioni Wakuu!

Kwa Hali Ilivyo, Matumaini Ya Ukawa Kuchukua Nchi Ni Zaidi Ya Ilivyotarajiwa Baada Ya Lowassa Na Team Yake Kuongeza Nguvu. Ushauri Wangu Ni Ukawa Watenge Bajeti Kubwa Kwa Ajili Ya Matangazo Ya Aina Zote. Mfano! Magazeti Yanayopendwa, Bila Kusahau Magazeti Ya Udaku, Handbills Na Posters, Vijarida, Matangazo Ya Magari, National Radio Na Tv Stations, Local Radio And Tv Stations, Mabango Makubwa Na Madogo Ya Barabarani, Mabango Ya Vitambaa, Kofia Na Tshirts Na Skafu, Simu Za Mkononi, Ngoma Za Jadi, Nk.

Kuwekeza Katika Matangazo Hakuepukiki. Iwepo Kauli Mbiu Moja Na Makini Kwenye Matangazo yote.
Kama kuna nyongeza wadau tafadhali ongezeeni
 
Pesa za kufanyia hayo yote utatoa wewe au atatoa Lowasa mnayetaka kumgeuza ATM ya kumla hela zake?
 
Gharama ya kusafisha lami ni kubwa mno ndio maana inabaki hivyo hivyo kuwa nyeusi.
 
Pesa za kufanyia hayo yote utatoa wewe au atatoa Lowasa mnayetaka kumgeuza ATM ya kumla hela zake?

mkuu! Hata wewe unaweza kutoa maana mwisho wa siku unaweza jikuta ukawa maana hata mimi na lowasa tuliamini kama unavyoamini
 
Back
Top Bottom