kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,330
- 21,422
Ni muda sasa chadema inaonekana imekosa sterling mzuri wa mikakati kipindi cha miaka ya 2005-12 chadema ilikuwa ipo vizuri sana kwa kuwa na mikakati ya kujenga chama pasipo kutegemea majina au mtu ahame chama apewe nafasi,tujiulize kipindi hichoy hakuna viongozi waliotoka vyama tofauti wakajiunga chadema?jibu wapo ila mikakati ilikua sahihi ya kutokupenyeza virusi ndani ya chama hawakupewa hata nafasi ya ulinzi wa ofisi,lakini leo chadema imechoka ubunifu hakuna,
labda chadema ndio inapita kwenye mkondo wa nccr na tlp ambazo mpaka sasa chalii,
kwa mkakati huu mahanga,sumaye,mnawapa zawadi za vyeo tena mjini badala ya kuangalia wapi mlikosa kura mpo eneo la dar es salaam ambako tayari chama kimeota mizizi wanamawazo gani mapya,kama ni hesabu za kuitoa ccm kwa mkakati wa sumaye na mahanga ccm miaka mia madarakani,lazima wazalishwe vijana wengine kama zitto,mnyika,mdee,kafulila na wengineo kwani hao walitoka wapi mpaka hawapatikani wengine mkakati ni kuvizia ccm?namnukuu sumaye tunataka kuitoa ccm kwa kuanzia ngazi ya shina wakati,kazi kubwa ilishafanywa na operation sangara.
Somo ni vipi zitapatikana kura milion 4 maana duni kaondoka na milion 2 zake,sioni dalili kwa watanzania kucheza tena kamari kwa lowassa kupata ml 2 nyingine!