Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,263
Haipiki kivipi mkuu?Ni ufahamu tu. Lakini gesi ni rahisi sana. Ila sema haipiki maharage
Gesi ni nishati ya bei rahisi sana ukilinganisha na Mkaa.
Nitolee mfano wa familia yangu::
Kukiwa hakuna gesi, hutumia mkaa wa sh 2000/= kwa siku, ambao ni wastani wa sh 60000/= kwa mwezi.
Lakini ninunuapo gesi ya Oryx kilo 15 kwa takribani shilingi 48000/=, hukaa kwa muda wa miezi miwili mpaka mitatu. Ambayo kwa wastani ningetumia mkaa ingekua ni kati ya 120,000/= - 180,000/=.
Japo ugumu wa gesi ni kuchemshia vitu vigumi mfano maharag n.k ambavyo kwangu mimi hununua mkaa hata wa 2000/= na vitu husika vikaCheshwa vingi na kuhifadhi kwa friji.
Kiujumla gesi + friji ni gharama nafuu sana.

Mimi mbona hua napikia na maharagwe, ila kupikia maharagwe lazima nitumie pressure cookerNi ufahamu tu. Lakini gesi ni rahisi sana. Ila sema haipiki maharage
Wali wa rice cooker ndo wakidwanzi.Ndugu wali wa kupikwa na gas hauna radha hila wa mkaa ni mtamu sana asikuambia mtu mkaa unapika fresh
Wali wa rice cooker ndo wakidwanzi.
Wali wa kupikiwa na gas unahitaji utaalamu sana kupikwa na unakiwa mtamu kama kawaida, ila ukikosea ndo unatoa boko.
Tukiwa wakweli wa nafsi zetu, huu ndio ukweli.Gesi ni bora na rahisi kwa watu wenye kipato cha kati lakini gesi ni bora ila siyo rahisi kwa watu wenye kipato cha chini, kwa mfano; kuna familia unakuta kwa siku wana uwezo wa kununua mkaa wa mia tano tu ambao hupika siku nzima kwa kujibana sana, hatahivyo hakuna gesi ya 500. Utambue kuwa watanzania wengi wana kipato cha chini na hawawezi kukusanya elfu 21 au 22 ya kununulia gesi ya mitungi midogo kila inapoisha ila wanauwezo wa kubahatisha 500 ya kununulia mkaa.
utaalam wa mapishi ...Ndugu wali wa kupikwa na gas hauna radha hila wa mkaa ni mtamu sana asikuambia mtu mkaa unapika fresh
Ukitaka kupika maharage nunua pressure cooker....(sufuria sio ile ya umeme)...ukiweka kwenye gas...maharage yanaiva fasta tu...
hehehehehehee mkuu unataka yawe na utamu wa maini au kitimoto?Maharage ya kupikia pressure cooker sio matamu.
Kuna majiko bunifu yana save sana mkaa gunia la mkaa la elfu 80 unatumia miezi 6gas ni cheap sana kulko mkaa. toka nigundue kutumia gas .. hadi bibi bush nimemtia mtungi mkubwa na reserve kale kadogo.
Hahaha kuhusu kuusikia utamu ni suala la mojamoja tunatofautiana.Maharage ya kupikia pressure cooker sio matamu.