oriflametz
Member
- May 31, 2016
- 47
- 12
Unajua vigezo vya mfanyabiashara kutakiwa kutumia mashine ya efd??Unatoa risiti ya EFD?
Unahabari sasa hivi, hata ukionekana umebeba gunia moja la mkaa, lazima uwe na lisiti yake, haijarishi unaenda kupikia au kupamba uwani.Unajua vigezo vya mfanyabiashara kutakiwa kutumia mashine ya efd??