Mjumbe wa CCM ajiunga UKAWA

Mjumbe wa CCM ndani ya BMK amejiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA katika kukataa yanaondelea Bungeni.

Source Mwananchi.

headline imeandikwa hivi: Mjumbe CCM 'ajiunga' Ukawa, nashangaa kwa nini huelewi hizi alama '.....'
 

Ni ya pepo wachafu kuzimu
 
Mjumbe wa CCM ndani ya BMK Mh.Ally Kessy amejiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA katika swala muundo wa serikali tatu na kukataa yanaondelea Bungeni.

Source Mwananchi.
Angekuwa CHADEMA angeitwa msaliti kwa kweda kinyume na msimamo wa chama, angeandaliwa waraka ukionesha alivyolipwa hela ili kisliti cham na kushughurikiwa ikiwemo kufukuzwa uanachama, nadhani bunge hili limesaidia kuonesha ukomavu wa demokrasia kati ya CDM na CCM
 
[/QUOTE]
Unalinganisha vipi uwepo wa demokrasia ndani ya CCM na CHADEMA. Imagine huyo mbunge angekuwa wa CDM angeitwa majina yote mabaya na kudaiwa kuwa amehongwa na adhabu yake ni kuvuliwa uanachama. Nadhani CCM imeonesha ukomavu na ustahimilivu wa kisiasa kwa kuruhusu wabunge wake kuwa na misimamo yao tofauiti na CDM ambako ni lazima ufuate msimamo wa chama hata kama unauona siyo sahihi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

huna lolote .
 
Ni mtu mjinga tu ambaye anaweza kupangiwa nini cha kuongea na mwanamume mwenzake! BOrar huyu jamaa kajitoa kwenye utumwa wa fikra!
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli daima. Kujaribu kutetea mambo yanayong'ang'aniwa na ccm hii na ukaeleweka ni kazi ngumu mno!
 

Acha unafiki Dogo, subiri uone kampeni chafu watakayompigia huyo Ally Kessy, na hapo bungeni hatakanyaga tena baada ya uchaguzi mkuu ujao. Yuko wapi Shibuda alietangaza kugombea urais 2010 kupitia CCM I'll kushindana na JK? Yao mengi ya kueleza, lakini tuache unafiki wakati CCM ndio chama kichafu zaidi Tz
 

Ukomavu wa kumlazimisha aseme kile mi-ccm inachokitaka? Mbona basi hawakumuachia aendelee kuongea na waandishi kwa habari?

By the way; kusaliti udhalimu ni jambo jema.
 
Anaunga mfumo wa serikali tatu kama walivyo ukawa lakini hajajiunga ukawa.Akigangania msimamo wake atajikuta Milembe Hospital
 
Kilichonishangaza ni jinsi wabunge waliochaguliwa na wananchi wanavyodhibitiwa kama watoto wa shule. Wale wanaosema hakuna demokrasia CDM waone wenyewe jinsi CCM inavyowafanya wabunge wake mateka. Yaani hadi Kessy anashikwa mkono kama mtoto mdogo ili asitoe siri lol. Nimechoka
 
huyu tunamvua uanachama na ubunge wake unakoma akaishi na maukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…